Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #41
πππππππππππ Sijui wanawaza nini? Au akili imenasa kwenye maombi ya kuombea mvua ya radi ishuke?Nimecheka sana, nikimfikiria kondoo yule kama Mnyama achungwae ndo wale Waumini ! [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona lipstick Tu hapoKupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki.
Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe.
Dini imevamiwa
View attachment 1805515
Sisi tunaona Ni watu, ila yeye anawaona ni kondoooKuna watu wanasali kwenye hii Kanisa?
Haha hahaha unajua sana kunichekeshaKwani huyo Masanja ambaye unaonekana Kumchukia sana amekulazimisha uwe ' Unamfolo ' au ' Umpende ' Mkuu?
Sijaona baya hapo na acha Kutuboa pia.
Duh!!!,Na waumini wake wanamsikiliza vizuri tu!!!.
Hahahaha....hawana hayo aiseBig up kwa wasabato, Kwanza hawaangukagi mapepo
πππ! Hivi kuna dini inapiga sala kama islam na sabato mkuuWasabato hawaanguki na mapepo kwa sababu hayajakemewa kwa sababu mwanadamu kama Hana Roho mtakatifu Basi ana Roho mchafu hawezi kuwa tupu (1Samweli 16:14)
Lakini kwemye biblia inajulikana kama kondoo ni mnyama mpole! Nadhan wakaamua kuiterm hivyo! Lolπππππππππππ Sijui wanawaza nini? Au akili imenasa kwenye maombi ya kuombea mvua ya radi ishuke?
Kwa uhalisia, kondoo, hawachagui "Mchungaji" bali mwenye kondoo ndiye huwachagulia mchungaji kondoo wake.Ndio maana wanaitwa kondoo, hawajui walifanyalo
Hao fake pastors ni Bible twisters.Lakini kwemye biblia inajulikana kama kondoo ni mnyama mpole! Nadhan wakaamua kuiterm hivyo! Lol
Yuko chuo cha Biblia cha Global pale makao makuu ya TAG UbungoKwanza kabisa mafunzo ya uchungaji alichukulia kwa mama Rwakatare au alienda chuo?
Kama ni chuo, Ni kipi hicho?
Kwani masanja ni mchungaji? Huyu ni msanii tu!!!!Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki.
Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe.
Dini imevamiwa
View attachment 1805515
Mpwa hii comment yako imenifurahisha sana.......ubarikiwe kwa kunipa tabasamu na kicheko siku ya leo......eti misuti kibao......Ndo maana mimi hata kama sina imani kubwa ntazidi kuwaapreciate wasabato...yaan lazima ukasomee uchungaji...sio kisa unajiona una misuti kibao unajilabel mchungaji...bora waweke sheria kama Rwanda tu vikanisa uchwara vifutiliwe mbali
Maana yake hapo kunatiririka baraka kama maji ya mito yanavyotiririka kwa wingi......Ni
Slogan name ya Kanisa lao.
Uzinzi ni hulka ya mtu binafsi......siasa ni sehemu tu ya maisha......Wazinzi wote wamejazana CCM, wote hao ni CCM
Kisomo hakiwaondolei ubinadamu na kuuvaa umalaika.......hayo wanayofanya yapo kwenye utashi wao kama wanadamu......na sio mafundisho ya walichosomea huko.....kama ustaadh anapomlawiti mtoto anayemfundisha kumjua Mungu.....hali ya kuwa Quran tukufu inapinga vikali zinaa achilia mbali ulawiti..........Si ndio hawa mapadri wanao lawiti watoto wakiume dunia nzima???!!
Sasa kusoma kwao kumewasaidia nini mpaka wanalawiti watoto wadogo wakiume jamani??!!