Wadada acheni wizi

Wadada acheni wizi

Mtu kama huyo unamkamata kisha kuna mtu anatokea ana wa plz mumsamehe kirahisi kabisa, kiukweli lazima achakae kidogo kwa ugumu huu wa maisha..
Tabia hujenga mazoea,kama wizi ungekuwa mzuri basi kila mtu angefanya hivyo ila watu wanachagua kufanya kazi ili wazihudumie familia zao,watoto wao.

Shida ni kuwa Jamii yetu inayotuzunguka ndio inaendekeza haya mambo mwishoni tunawapoteza wengi kwenye janga hili la tamaa.
 
Wadada ni wezi sana siki hizi hela hawana alafu tamaa ndio maana wanaishia pabaya
Omba vyote ila sio tamaa.Tamaa mbaya sana .Tamaa inaweza kukufanya ufanye vitu ambavyo hukuwahi tegemea kuvifanya na hii yote inatokea kwasababu ya (kuonekana).Uonekane una kitu ,uonekane sio mshamba ila ukweli ni kwamba mioyoni mwa wengi kuna giza nene .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena kawaachia mkobaa tyuuh. Lol
 
hii story pia imetokea week iliyopita kuna mdada kaenda saloni karembwa rembwa kabla hawajammaliza kumremba akaomba simu ampigie mwenzie aje hapo saloon naye apate huduma ....katoka nje na mamakeup yake katokomea na simu ya watu ..... wanawake siku hizi wezi sana
 
Valentine day inakuja afu anaona mambo hayaendi, ni sawa tuu na wanaume tunavoangaika muda huu kupata zawadi kwa ajili ya wapenzi wetu siku hy ya valentine.
 
Valentine day inakuja afu anaona mambo hayaendi, ni sawa tuu na wanaume tunavoangaika muda huu kupata zawadi kwa ajili ya wapenzi wetu siku hy ya valentine.
Hivi kumbe bado kuna wanaume mnaohaingika kupata zawadi kwa wapenzi wenu siku ya valentine?big up sana mkuu,
 
Back
Top Bottom