Wadada.....duhhh!!!

ni ngumu kuna uncle wangu huwa anasema na kusisitiza fanya kile mwenzio anapenda ilimradi tu asikudhalilishe basi... me ndefu siwezi pamoja na kuwa na miguu kama mikono .. na suruali
 
Dunia bahari wacha waendelee kuogelea ndicho walivyo chagua
 
Hio Carina yako iko juu kama Prado hadi unaona ndani kwenye gari lingine?
 
ni ngumu kuna uncle wangu huwa anasema na kusisitiza fanya kile mwenzio anapenda ilimradi tu asikudhalilishe basi... me ndefu siwezi pamoja na kuwa na miguu kama mikono .. na suruali


huvai trauza ? yes kila mtu na ladha anayopenda ! mie ni bora nikavaa gaun fupii kuliko nivae dera nilichomekee kwenye CHUPI ! hua nahis ni biashara tayar kwann dera uchomekee kwenye chupi jaman !khaa hapana !au uvae dera usivae ngup ya ndani full mirindimo aisee hapana bora nivae nguo fupi tu
 
navaa .........vaa umvutie mumeo wengine wacha waseme inahusu .. akome kuchungulia kwenye magari ya watu ile ni kama nyumba inayotembea ha hahaha
 

Haha!, halafu kila mtu anajua wamechomeka dera kwenye nini hata watu wao wa karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe huwa unavaa hizo fupi? Naomba lift...
mi nikifika kwenye gari nafungua zipi napandisha nguo niwe huru na sidiria nafungua sababu siku nziima nimejibana pale ndiyo sehemu ya kupumua .. kwa hiyo jiandae kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…