Wadada.....duhhh!!!

Wadada.....duhhh!!!

unajua hapa kila mtu na ndoa na mume/mke wake !mie nguo ndefu hazinipendez jaman ! na mume ndo kbsss hatak kuvaa nguo ndefu ! nachukiza sana yaan ! mie ni mwendo wa gaun fupi tu kwakwel ! mume ndo alinikuta nazo hizo sasa ww jiran uanze kuninyooshea kidole itakuwa kazi kidg kukuelewa !
ni ngumu kuna uncle wangu huwa anasema na kusisitiza fanya kile mwenzio anapenda ilimradi tu asikudhalilishe basi... me ndefu siwezi pamoja na kuwa na miguu kama mikono .. na suruali
 
Dunia bahari wacha waendelee kuogelea ndicho walivyo chagua
 
Niko kwenye queue hapa makongo kuelekea mwenge, kuna ka Toyota carina Ti nimeazima kwa jamaa yangu ili namimi leo niepuke hamza kanoon. Suddenly I notice this one thing, wadada wengi wanaopush their own ndingas aisee sio kwa vimini hivi walivyotupia... kama kuna mdada kapita anaendesha raum, yaan hadi abiria wa kwenye basi ambalo liko naye parallel woote wametoa macho wakimshangaa. Statistically speaking, katka gari takribani saba nlizopishana nazo asubuhi hii, ni wawili tu walikua wamevaa nadhifu. So I keep asking myself, huko ofisini how do they enter?? Unless they're all bosses, basi hizo ofisi huko zina majaribu makubwa sana aisee.
On my way to Palm beach

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio Carina yako iko juu kama Prado hadi unaona ndani kwenye gari lingine?
 
ni ngumu kuna uncle wangu huwa anasema na kusisitiza fanya kile mwenzio anapenda ilimradi tu asikudhalilishe basi... me ndefu siwezi pamoja na kuwa na miguu kama mikono .. na suruali

huvai trauza ? yes kila mtu na ladha anayopenda ! mie ni bora nikavaa gaun fupii kuliko nivae dera nilichomekee kwenye CHUPI ! hua nahis ni biashara tayar kwann dera uchomekee kwenye chupi jaman !khaa hapana !au uvae dera usivae ngup ya ndani full mirindimo aisee hapana bora nivae nguo fupi tu
 
navaa .........vaa umvutie mumeo wengine wacha waseme inahusu .. akome kuchungulia kwenye magari ya watu ile ni kama nyumba inayotembea ha hahaha
 
huvai trauza ? yes kila mtu na ladha anayopenda ! mie ni bora nikavaa gaun fupii kuliko nivae dera nilichomekee kwenye CHUPI ! hua nahis ni biashara tayar kwann dera uchomekee kwenye chupi jaman !khaa hapana !au uvae dera usivae ngup ya ndani full mirindimo aisee hapana bora nivae nguo fupi tu

Haha!, halafu kila mtu anajua wamechomeka dera kwenye nini hata watu wao wa karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe huwa unavaa hizo fupi? Naomba lift...
mi nikifika kwenye gari nafungua zipi napandisha nguo niwe huru na sidiria nafungua sababu siku nziima nimejibana pale ndiyo sehemu ya kupumua .. kwa hiyo jiandae kabisa
 
Back
Top Bottom