miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
mkuu kuna wanaume wanapenda kutuona tunatembea na vinguo vifupiKwenda na wakati ni kwenye kutafuta hela lakini sio mavazi hasa ya kuuweka mwili ambao mumeo ameulipia kwa ajili ya starehe yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
watuachehuhuhu hapo chacha !
Nitapambana na hali yangu....mi nikifika kwenye gari nafungua zipi napandisha nguo niwe huru na sidiria nafungua sababu siku nziima nimejibana pale ndiyo sehemu ya kupumua .. kwa hiyo jiandae kabisa
hapo sawa njoo pale nikupe liftiNitapambana na hali yangu....
Ukinipa lift na umevaa kimini Mathayo 7-7 inakuhusu asee!![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] Utaelewa tuuyaan nakupa lift uanze kunihubiria tena ? hahahah! nakuwekea singeli tu sasa
Halafu sijui kwanini mtu akikaa kihasarahasara siwezi kuangalia mara moja lazima nirudie tu hadi anashtuka!hapo sawa njoo pale nikupe lifti
we angalia na mi sishtukiHalafu sijui kwanini mtu akikaa kihasarahasara siwezi kuangalia mara moja lazima nirudie tu hadi anashtuka!
Hahaha, sawa mkuu. Za siku?Ni ndefu mkuu tu vizuri sema kwa sababu ya kuwa zinabana huwezi shift mguu kirahisi inabidi upandishe ili uweze kupata balance nzuri akishuka mbona ndefu .. Sema wale wengine huwa wana weka kamtandio mbele .. Acha kuchungulia Magari yawengine
Sent using Jamii Forums mobile app
salamamkuu siku hizi hunipendi tena
Nani bwana nanyupu?unajua hapa kila mtu na ndoa na mume/mke wake !mie nguo ndefu hazinipendez jaman ! na mume ndo kbsss hatak kuvaa nguo ndefu ! nachukiza sana yaan ! mie ni mwendo wa gaun fupi tu kwakwel ! mume ndo alinikuta nazo hizo sasa ww jiran uanze kuninyooshea kidole itakuwa kazi kidg kukuelewa !
Ha ha ha umenikumbusha kuna rafiki yangu yeye anaangalia dress code asubuhi anajua huyu anaenda kazini wapi...Usikute uyo mdada anaenda kinondoni au sinza duka lake la nguo
Hakyanan, hakuna namna!!!Khaa!, na joto la Dar cha kujiua na Dera kisaa!
Don Itabidi atuzoee tu kwa kweli na kupambana na hali halisi..[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah, u 'nailed' it mkuuMbona ni jambo la kawaida hilo!! Ukipewa lift unaweza kutamani msifike.
Hahaha, halafu ni ma homeboy kabisa. Ndio maana unaambiwa bora Kafir akufaae siyo Islam asiyekufaa..
Daah, haya mambo yakuchomokea kwenye chupi yanashawishi sanahuvai trauza ? yes kila mtu na ladha anayopenda ! mie ni bora nikavaa gaun fupii kuliko nivae dera nilichomekee kwenye CHUPI ! hua nahis ni biashara tayar kwann dera uchomekee kwenye chupi jaman !khaa hapana !au uvae dera usivae ngup ya ndani full mirindimo aisee hapana bora nivae nguo fupi tu