Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

aisee mimi bwana nilijiunga kwa sababu nilitaka tu kujiunga sasa dont get me wrong mkuu .....wewe kama ulikua radhi kupukutisha muda wako....kisa watu ambao huwajui ......like really......?
Si ndio mwanzo wakuwajua?
 
Kunakitu niligoogle nikakuta kimezungumziwa humu,ikabidi niendelee kupekupekua nilikutana na story ilinivutia sana ikabidi niwe naperuzi tu kabla sijajiunga.
 
sasa na wenyewe wametaka kukujua?....kwa hiyo mkuu hii jf nzima ulijiunga kisa fake id's ....doh mkuu ...angalia
Niangalie nin mkuu..mbona nishajuana na wengi sana humu,mimi sina cha kuangalia hata avatar naweka picha yangu.ukitaka kuishi vizuri humu unakwepa jukwa la siasa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…