Wadada kwanini mnajiweka cheap kiasi hiki?

Naona kaumbika hatari na hicho kiuno mbinuko...nashukuru Kwa picha dogo
 
Kama huyu
 
watu wengine bhana mnanishangazaga sana!! sasa huyo si anataka umgonge tu!! ona eti ta tangu august mpaka leo eti unachati nae tu! hivi wewe jamaa vip?? wewe ni mzima kweli mkuu?? eti anakusumbua kwa kukutumia vipicha! mimi nakwambia uyo ungemgonga angeshaachaga kukusumbua cku nyingi!! ingekua sio mzuri ningekuelewa asa mtt mwenyew mzur uyo.... kwani kumgonga shi ngapi?? Kwangu wakujilengesha ivo hawamalizagi hata siku mbili aisee
 

Ndiye huyu?
Maana ata mm ananitumiaga alohhh!
 
Ndege wafananao huruka pamoja. Wewe kama hupendi/huendekezi hayo mambo usingekua nae mpaka leo, kitambo sana ungeshamtimua au kumpa onyo kali
 
Mambo ya facebook na jf wapi na wapi...
We jipakulie tu ule umepewa jembe na kulima tukufundishe?
 
Sijawahi kuona chui anacheza na swala kama wewe
 
kama humtaki naomba namba zake hahahah
 
She is seducing you man.Kama humtaki potezea tu najua atakuchukia but una standards zako.wala usimwambie .
 
Wanaume uchwara kama nyie ndio mnasababisha wanaume wa dar tuonekane waoga
 
Mi nikiona picha hizo mzee ndo hasimami kabisa mie napenda kupiga tu na wala cio picha

Lakini hao wapo wengi wenye tabia hizo hasa badoo wanauza hadi picha za uji tsh 10000 lakini picha haina mantiki

Kwa sababu umependwa ww c picha huo n ushenzi kama ni picha ziko kibao porn za namna hiyo
 
hebu tutajie username yake fb tukamkataze
 
Haha huyo ndio uliekutana nae yuko cheap.... Wengine wako expensive and very hard to get... Inawezekana mazingira unayojiweka pia unakutana na cheap assets
 
Mkuu to Be Honest ungemuambia Apart na Kuja Kudhalilisha Huku. Maybe Alijaribu ku cope na Hali halis ya Sasa ili awe na Wewe. Na wewe bila Kujiongeza unamdhalilishanutajuaje alikuwa real for you alihitaji.kuku impress?

Mwanaume Halisi Hazadhililishi Mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…