Wadada/mama mnaoendesha pikipiki Tafadharini sana zingatieni Sheria za barabarani.

Wadada/mama mnaoendesha pikipiki Tafadharini sana zingatieni Sheria za barabarani.

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Kuna wimbi kubwa sana la wadada na wamama kuendesha pikipiki hizi za kuchaji kati kati ya miji.

Kwangu Mimi naona ni jambo jema lakini wengi wenu hamzingatii kabisa Sheria za barabarani na Nina uhakika hamzijui kabisa.

Nimeshuhudia tukio Moja la dada mmoja kugongwa na gari akikatiza pasina kuangalia right and left sijui kama alipona.

Matukio mengine ni ya kukoswa koswa TU yaani vurugu tupu Hadi unajiuliza wanatumia akili kweli Hawa?

Bodaboda tulishazoea lakini kama nanyi tutazoea hili maana yake tutakuwa na walemavu wengi sana wa jinsia zote!

Changamoto kubwa sana hii na imekuwa fashion sasa Kwa kila mdada kuwa na hizi pikipiki hata wale wanaojijua kabisa hawana weredi katika kuendesha chombo Cha moto.

Huku hatuendeshi kw hisia Bali akili inatumika muda wote!

Nawapenda ndio maana nawaonya Kwa wema. Kuweni makini!
 
Siku hizi jinsia yangu haitaki kubaki nyuma.
Kuna bodaboda wa kike wengi wanakuja Kwa speed.
Halafu Kuna wale wenye pikipiki zao personal Kwa ajili ya usafiri binafsi..kinachonisikitisha Sasa wanaendesha huku wamevaa kijora na sendo mguuni
 
Nikwel kabisa na yote mema kitu kinasikitisha unakuta kabeba mtoto halafu hazingatii kabisa usalama anakatiza ovyo Hadi unashtuka kawezaje kukatiza hapa bila tahadhari yoyote ile?
 
Back
Top Bottom