umenifumbua macho mkuu,nitajitahidi nikiolewa nisijibweteke,lol...................................nimeipenda hii topic,wadada inawahusu sana huu ujumbe,i believe kila mtu akibeba majukumu yake vizuri nyumba itakua na Amani/peace and harmony,usiwe sababu mfanyakazi wako wa ndani awe ana simanzi,ndio maana wengine wamepindua nyumba za watu,ulimsema na kumsumbua,siku mumeo akimuonyesha kumpenda haachii nafasi ya kukukomoa,kama unaishi vyema na mdada wa nyumbani,atakuheshimu,atalea watoto wako vizuri,