Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 540
Koh koh...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi kuna mmoja kwa ndugu yangu.alitika dodoma huko ...akaelekezwa kupika dagaa wa mwanza rosti na ugali..
alichofanya[emoji134] [emoji134] .
ugali alijitahid kupika..but mchuzi umejaa sufuria huo..majimaji.dagaa wanaelea juu..bado wa harufu ya shombo.vitunguu vikubwa vinaelea..vibichi..hoho karoti doh...
baba mwenye nyumba alibanwa na njaa iksbid ajikaze hivohivo ale...alitapika vibaya huo usiku[emoji23] [emoji23] ..
JK alilonga. Zilongwa mbali zitendwa mbaliMkuu naweza pata nafasi kwako unafaa kua mama bora.
Hauna ndugu au mdogo ako ana kusaidia kazi?10yrs sasa sijawahi kuwa na msichana wa kazi.
Sina mkuu.Hauna ndugu au mdogo ako ana kusaidia kazi?
Basi umetisha, wadada wengi wakisema hawana house girl huwa wanakua na wadogo zao.Sina mkuu.
Wadogo zangu ni wakubwa, wana maisha yao. Sometimes nahitaji mtu wa kunisaidia lkn ndo hivyo nimeshazoea. Uzuri ni kwamba sina mtoto mdogoBasi umetisha, wadada wengi wakisema hawana house girl huwa wanakua na wadogo zao.
Nimekuelewa nganengo tajitahidi kutoangalia makandokando yake ili niweze kusimama.Ila bibie ukumbuke hakuna aliye smart kila idara, kikubwa kinachofanya ndoa idumu ni kuheshimiana na kila mmoja kujua namna ya kuchukuliana na udhaifu wa mwenzake. Nb: Usisubiri kutendewa wema ndo urudishe wema, jaribu kusimama kwenye nafasi yako hata kama mwenzako hasimami kwenye nafasi yake.
Jibu swali then umuulize swali lako ww vp[emoji38] kwanini umeuloza hivo...
bado
AseeeeNawaomba mnapoingia kufundwa kwa kungwi, somo, mashangazi zenu na mlio na mama na bibi zenu muwe mnaingia na DIARY, NOTEBOOK, au hata KIDAFTARI mkariri yale mnayohusiwa na kufundishwa kuelekea NDOA!!
Ukimaliza yatunze hayo maandishi kule pamoja na vyeti vyako..kwa faida za baadae..kitakuaaidia sana..na kwa wale msiopata bahati ya kuwekwa ndani tafuteni mafunzo mbadala..mnakili pia!
Hivi how comes mwanamke umeolewa ndoa ina zaidi ya miaka miwili mitatu..unaamka saa tatu asubuhi unamkoromea housegorl.."yaani mpaka saa hizi hujaandaa chai mezani..baba naniliu ana njaa....umezubaa tu hapa""
mna matatizo gani???
Jikoni sasa unajua kabisa mume anapenda chakula chake kipikweje..unamtegea hg..we upo sebuleni kumsoma Mange Kimambi..ukisikia harufu kaunguza hata vitunguu unatoka mbio ka ng'ombe aliyechokozwa..."m*** mkubwa wewe..hauna macho hadi uunguze..ulikuwa wapi mboga ipo jikoni?
Hivi hamjiskii aibu??
Kesho tena unambwagia minguo yako ulovaa wiki nzima..mijinzi yako na mumeo..nguo za watoto..mashuka tena mengine yamegandia mautomvu yale meupe alomwaga mmeo wakati wa kupalilia ndoa..wengine boxer pia ..khaa!!!
sasa kabinti ka watu nako kadogo ka miaka 15 tu..umekatoa Kigoma hukoo kwenye mapori ya michikichi..hakajui hata bleach ndo nini...unamwambia dawa ya madoa hii..weka kwenye nguo kuondoa michuzi sawa!? kanajibu "sawa dada.."
Baadae kachukua nguo mchanganyiko zenye madoa ya michuzi mradi amalize mapema..kazi nyingi..kazitumbukiza huko kwenye beseni moja na bleach juu..sabuni ya unga...
Mashati meupe ya ofisini ya mumeo yamegeuka mashati ya batiki...blauz zako rangi nazo zote zimekuwa nyeupe..suruali za jinzi nyeupe.....si utamlaza hospital kwa kipigo lakini???
Kila siku nyumba makelele weee utadhani soko la wauza mitumba wananadi bei zao au sijui kuna mchungaji wa kilokole anahubiri....haiwez pita siku bila kusikika ukifoka..
Plz jirekebisheni...wengi huwa mnasahau mliyofundishwa kule..au kuyapuuza..hawa wadada mnaoletewa ni wa usaidizi tu..sio kubeba majukumu aslimia mia..
Dada wa kazi apige deko, aoshe vyombo..aende dukani au sokoni na kazi nyinginezo akisaidia tu..
chakula cha familia yako pika wewe mama mwenye nyumba yote yanayohusu mumeo ni jukumu lako.
Housegrl anaweza kukusaidia kufua mapazia..nguo zako au watoto..sio za mume wako.! labda kama u mgonjwa.
Ndo maana nawaambia tunzeni mnayofundishwa..baadhi mnakosea..mngeyarejea mkajistukia na kujirelebisha.
Ndoa na harusi ni vya siku moja..lakini hayo majukumu ni ya kila siku kwa miaka na miaka.
So usiolewe kwa sababu nyinginezo olewa sababu uko tayari kuishi kama mke ndani ya jamii...na uwe mfano wa kuigwa.
Nashukuru!!