Wadada mlioolewa na mnaotarajia kuolewa!

Wadada mlioolewa na mnaotarajia kuolewa!

Mama yangu alikuwa anatuambiaga ninavyoongea hivi kuwafundisha kila siku ndio kitchen party yenyewe. .
 
Uwez kufundwa kwa siku moja ukawa fundi.

Mtoto wa kike anafundwa kila siku, Mimi binafsi Siwez lala mpaka saa 2 ni maisha niliyozoeshwa tangu mdogo saa 12 mtoto wa kike unapaswa kuamka kuweka mazingira sawa ya nyumban.

Binti wa form four anafuliwa nguo unategemea kesho akawe mama bora au Mwalim bora kwa familia yake kivipi?

Wamama tusilee watoto Kama vidonda wanaenda kutia aibu huko waendako.
Kumbe ww ni wife material kiasi hcho
 
ukichunguza why watu wanatoka nje ya ndoa kila mara utakuta haya ndo yanasababisha.Wanaume akipata attention nje kidogo na mwanamke akigundua udhaifu wa nyumba kubwa ni kwamba atafanya atahamia
 
mie kwenye shughuli za nyumban kwangu nnajipa 100% kwa haya mie hayanisumbui !kwanza sitak kbs kula msos wa dada ! ni jana tu nimechelewa kurud hom nimekuta kashapika ! kupika kwangu ni hobby nalala saa7 kila siku saa 12 ;00 nipo on !


asante kwa jumbe
10yrs sasa sijawahi kuwa na msichana wa kazi.
 
mume wangu kama asiponiuzi nitampa good time sana
kwanza hatokaa ale chakula cha ovyoovyo cha beki tatu
hatokaa afue hata leso yenyewe
hatokaa alale njaa hata arudi saa kumi usiku atakuta chakula fresh tena cha moto namlisha
sitokaa nimnyime papuchi
Ata wenzio walianza hivyo hivyo
 
Somo hili!
Vizuri kukumbushana, naona kama vile mtu unajielewa vizuri utapenda kutunza familia yako 'Personally' na sio kuagiza watu wengine kama housegirl akutunzie.


hakika! unakuta dada anafua masweta ya shule km anagombana sweta mwez tu limetanukaaa haha !mie nakaa sana online lakin sikumbuk km nimewah unguza msos aisee !niko makini na najijua ! mambo mswano
 
mie kwenye shughuli za nyumban kwangu nnajipa 100% kwa haya mie hayanisumbui !kwanza sitak kbs kula msos wa dada ! ni jana tu nimechelewa kurud hom nimekuta kashapika ! kupika kwangu ni hobby nalala saa7 kila siku saa 12 ;00 nipo on !
asante kwa jumbe

Hongera, hii ya chakula ni bora mtu asaidie kazi nyingine lakini chakula ufanye mwenyewe kwa kweli.
 
Back
Top Bottom