Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
kila mtu aishi kwenye msitari wako.kama mtu anakupa stress hiyo nguvu ya kumpikia unatoa wapi?Umesema mume wako asipokuuzi
Lakini je akikuuzi atakula chakula cha ovyo ovyo cha beki tatu atafua Huyo mpaka leso yenyewe atalala na njaa hatakula chakula fresh nakadhalika
oooh..badoNimetaka kujua km una xperience
akikuudhi ???[emoji4] [emoji4]mume wangu kama asiponiuzi nitampa good time sana
kwanza hatokaa ale chakula cha ovyoovyo cha beki tatu
hatokaa afue hata leso yenyewe
hatokaa alale njaa hata arudi saa kumi usiku atakuta chakula fresh tena cha moto namlisha
sitokaa nimnyime papuchi
Subiri yule brazamen akuoe tuoneoooh..bado
USISAHAU NA CHAKULA.CHA USIKU.APO UKIBWETEKA NDIO IMEKULA KWAKOumenifumbua macho mkuu,nitajitahidi nikiolewa nisijibweteke,lol...................................nimeipenda hii topic,wadada inawahusu sana huu ujumbe,i believe kila mtu akibeba majukumu yake vizuri nyumba itakua na Amani/peace and harmony,usiwe sababu mfanyakazi wako wa ndani awe ana simanzi,ndio maana wengine wamepindua nyumba za watu,ulimsema na kumsumbua,siku mumeo akimuonyesha kumpenda haachii nafasi ya kukukomoa,kama unaishi vyema na mdada wa nyumbani,atakuheshimu,atalea watoto wako vizuri,
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Subiri yule brazamen akuoe tuone
Pole mama uwe mpole tu jamanHaya mambo hayana fomula jamani ... Utamlisha chakula kitamu ulichopika mwenyewe, utamfulia na kumpasia nguo kisha kupanga kabatini, utamwandaa asubuhi awahi kazini ... Utajitahidi usafi kuanzia wa nyumba mpaka wako mwenyewe ... Utaneng'eneka huko kama hajawahi tokea kama yeye ... Ila ndio kwanza mtu hajali jitihada zako ... Wanawake tunafanya kutimiza wajibu ila hata hamjali jitihada zetu pyeeee mjistukiage na ninyi!
Shangaa sasaKama hukufundishwa na mama yako sahau kubadirika.
Hivi naweza kupoteza mda kwenda kujifunza vitu vya kawaida sana hivi? Hapo mama yangu alikuwa na kazi gani hadi nifundishe na wanawake wengine??
Acha kabisa mwanaume akiwa smart kila idara michepuko noo... anajali familia.... Maendeleo yapoo@ aisee nitaparangana mpaka kieleweke****mitabia yao ndo huwa inatukatisha tamaa NA kutumaliza nguvu..kila mtu aishi kwenye msitari wako.kama mtu anakupa stress hiyo nguvu ya kumpikia unatoa wapi?
Aisee umeongea kwa uchungu sana, tupo tunaojali jitihada zenu mbona, hebu jaribu kufungua macho ya rohoni kidogo ya nyama yatakuonyesha tall handsome n black/mweupe basi.Haya mambo hayana fomula jamani ... Utamlisha chakula kitamu ulichopika mwenyewe, utamfulia na kumpasia nguo kisha kupanga kabatini, utamwandaa asubuhi awahi kazini ... Utajitahidi usafi kuanzia wa nyumba mpaka wako mwenyewe ... Utaneng'eneka huko kama hajawahi tokea kama yeye ... Ila ndio kwanza mtu hajali jitihada zako ... Wanawake tunafanya kutimiza wajibu ila hata hamjali jitihada zetu pyeeee mjistukiage na ninyi!
Ila bibie ukumbuke hakuna aliye smart kila idara, kikubwa kinachofanya ndoa idumu ni kuheshimiana na kila mmoja kujua namna ya kuchukuliana na udhaifu wa mwenzake. Nb: Usisubiri kutendewa wema ndo urudishe wema, jaribu kusimama kwenye nafasi yako hata kama mwenzako hasimami kwenye nafasi yake.Acha kabisa mwanaume akiwa smart kila idara michepuko noo... anajali familia.... Maendeleo yapoo@ aisee nitaparangana mpaka kieleweke****mitabia yao ndo huwa inatukatisha tamaa NA kutumaliza nguvu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Lifestyle ya mtu kuibadilisha kazi. Inahitaji muda .kweli..lakini anashindwaje kubadili lifstyle yake anapoingia ndoani..??