Wadada mlioolewa na mnaotarajia kuolewa!

Mama yangu alikuwa anatuambiaga ninavyoongea hivi kuwafundisha kila siku ndio kitchen party yenyewe. .
 
Kumbe ww ni wife material kiasi hcho
 
mie kwenye shughuli za nyumban kwangu nnajipa 100% kwa haya mie hayanisumbui !kwanza sitak kbs kula msos wa dada ! ni jana tu nimechelewa kurud hom nimekuta kashapika ! kupika kwangu ni hobby nalala saa7 kila siku saa 12 ;00 nipo on !


asante kwa jumbe
 
ukichunguza why watu wanatoka nje ya ndoa kila mara utakuta haya ndo yanasababisha.Wanaume akipata attention nje kidogo na mwanamke akigundua udhaifu wa nyumba kubwa ni kwamba atafanya atahamia
 
10yrs sasa sijawahi kuwa na msichana wa kazi.
 
Ata wenzio walianza hivyo hivyo
 
Somo hili!
Vizuri kukumbushana, naona kama vile mtu unajielewa vizuri utapenda kutunza familia yako 'Personally' na sio kuagiza watu wengine kama housegirl akutunzie.


hakika! unakuta dada anafua masweta ya shule km anagombana sweta mwez tu limetanukaaa haha !mie nakaa sana online lakin sikumbuk km nimewah unguza msos aisee !niko makini na najijua ! mambo mswano
 

Hongera, hii ya chakula ni bora mtu asaidie kazi nyingine lakini chakula ufanye mwenyewe kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…