Wadada mlioolewa na mnaotarajia kuolewa!

Hongera, hii ya chakula ni bora mtu asaidie kazi nyingine lakini chakula ufanye mwenyewe kwa kweli.


mdada wangu wa kazi ni mmasai imagn umpe masai akuungie mchuzi ahahha utatapika aisee !hafundishiki .. manyanya yamesimama dede tunguu anakata makubwa km ya pilau uwii chuzi kuleeee hahah wali km ugali !nimefundisha wee hapana najipikia mwenyewe kwakweli
 

HAHA!, mbona nyanya kusimama dede! [emoji1]
Huwa naona ni bora mtu kutengeneza chakula chake mwenyewe kama anaweza, cos unajua kilipopitia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haahaahaa..pole sanaa!
halafu kumrekebisha mtu mzima mwenzio ni kazi kwelikweli
 
HAHA!, mbona nyanya kusimama dede! [emoji1]
Huwa naona ni bora mtu kutengeneza chakula chake mwenyewe kama anaweza, cos unajua kilipopitia.

Sent using Jamii Forums mobile app
mi kuna mmoja kwa ndugu yangu.alitika dodoma huko ...akaelekezwa kupika dagaa wa mwanza rosti na ugali..
alichofanya[emoji134] [emoji134] .
ugali alijitahid kupika..but mchuzi umejaa sufuria huo..majimaji.dagaa wanaelea juu..bado wa harufu ya shombo.vitunguu vikubwa vinaelea..vibichi..hoho karoti doh...
baba mwenye nyumba alibanwa na njaa iksbid ajikaze hivohivo ale...alitapika vibaya huo usiku[emoji23] [emoji23] ..

 



hahaha had nimehis kuvomit haha dagaa unaliwekea chuzi lol
 
kweli aisee..nyumba kubwa mikelele..nyumba ndogo kumetulia..kwanini asihamie kule
 
Kwa hiyo bado hujaolewa bibie..[emoji4] [emoji4]
 
Sorry mkuu,kwa avatar ni ww?
 
niajiri mm nikupikie mkuu hutojuta
 
dah fursa hii...🙄🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…