Wadada mlioolewa na mnaotarajia kuolewa!


Khaaaa!, hahah!, jamani dagaa wa kuelea kwenye mchuzi tena?!!, Eeuwww!

Halafu mchuzi ulivyo na complications kuutengeneza utokee vizuri, halafu unampa mtu kama huyu kuutengeneza!!
Hapana kwa kweli, yaani ugali tu huwa siamini sana wa mtu mwingine, naona kama hautokei vizuri kama wangu..lol!
 
Basi umetisha, wadada wengi wakisema hawana house girl huwa wanakua na wadogo zao.
Wadogo zangu ni wakubwa, wana maisha yao. Sometimes nahitaji mtu wa kunisaidia lkn ndo hivyo nimeshazoea. Uzuri ni kwamba sina mtoto mdogo
 
Nimekuelewa nganengo tajitahidi kutoangalia makandokando yake ili niweze kusimama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…