Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Mbona umenitamanisha bibie??????NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie niliavenge tu kwa kweli. Haiwezekani unitumie kama benchmark kwenye moja ya vigezo vyako, nikapata moyo wa kutuma application yangu na picha nikaattach (photoshop) tena ilibidi nipakwe na make up ya uhakika, Aaah kuja kunikataa eti vigezo sijakidhi. Nikaona bora tu tukose wote sasa[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Alinijibu wapi sasa, si alisema ukiona kimya ujue application yako imekuwa rejected. Na bahati yake angenijibu tu ningemganda humo humo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona benchmark!! Kumbe uliapply!! Hivi alikujibu? Maana mie hata pm yangu hakujibu kabisaaaaa.
Punguza udakuzi bibieRogie ana taarifa?
Ndio maana wengine wanatafuta kwa new IDUsitusingizie bwana.
Priority zako ndio zilikuwa tatizo.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Lool shikamoo dada,kumbe ndo maana,miaka 28 kikweli chumvi ushakula sana tu.
Ila hilo lisikufanye kuwa mtumwa wa ndoa kwa lijamaa lisilo na nidhamu kama hilo.
Mkiendelea namleta mkewe wa ukweli humu afu tuone moto wake kama hautakua kama America na North Korea humu.
Kulia na kucheka zote kelele tu....Bora nisijue alafu najiongopea tu.. Kuwa ndio kwanza nakata utepe kuliko nikaletewa bonge la file hapa.
Coco...Hii kali asee, Mungu awasaidie katika hili. Doh
RRONDO Bora kelele zakucheka haziumizi[emoji23] [emoji23] kukabidhiwa file la Mrembo wako Mubashara kabisa ujue inaumaKulia na kucheka zote kelele tu....
Mkuu kumbe unae humu? Imekuwaje Behaviourist hana taarifa?RRONDO Bora kelele zakucheka haziumizi[emoji23] [emoji23] kukabidhiwa file la Mrembo wako Mubashara kabisa ujue inauma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio maana wengine wanatafuta kwa new ID
Hahahaaaa Mkuu kumbe @Behaviorist almaarufu "tabiarist" kama wanavyomuitaga yeye ndio hufanya verification process eeh?[emoji23] [emoji23]Mkuu kumbe unae humu? Imekuwaje Behaviourist hana taarifa?
Huyo ndio mhakiki mkuu wa jf couples.....Hahahaaaa Mkuu kumbe @Behaviorist almaarufu "tabiarist" kama wanavyomuitaga yeye ndio hufanya verification process eeh?[emoji23] [emoji23]
Haha haaaaa nilipoona mwanzoni nilijua ni ka style kapya tu ka avatar. Kumbe ni ban live.. Mod's kawataki mchezo. Week ya nenda kwa usalama hii. Wanafanya reshaping ya behavior.Hivi imekuwaje wakala kifungo?
Sasa mimi kosa langu nini jamani!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]