Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza
Mbona umenitamanisha bibie??????
 
Mie niliavenge tu kwa kweli. Haiwezekani unitumie kama benchmark kwenye moja ya vigezo vyako, nikapata moyo wa kutuma application yangu na picha nikaattach (photoshop) tena ilibidi nipakwe na make up ya uhakika, Aaah kuja kunikataa eti vigezo sijakidhi. Nikaona bora tu tukose wote sasa[emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona benchmark!! Kumbe uliapply!! Hivi alikujibu? Maana mie hata pm yangu hakujibu kabisaaaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] league kumbe iliendelea, wadada bwana kwanini kujidhalilisha hivyo!!

Huyo mnaegombania kakaa tu anawachora mnavyofanya vitu vya kijinga, hata kama ni njaa ya kuolewa au kuwa mahusiano sio kiivyo!!!
 
Lool shikamoo dada,kumbe ndo maana,miaka 28 kikweli chumvi ushakula sana tu.
Ila hilo lisikufanye kuwa mtumwa wa ndoa kwa lijamaa lisilo na nidhamu kama hilo.
Mkiendelea namleta mkewe wa ukweli humu afu tuone moto wake kama hautakua kama America na North Korea humu.

Chonde chonde, mbona kama shughuli ilikwishapoa? Tafadhali usilianzishe tena, maana watu wamemwaga hadharani hata vile vya uvunguni
 
Hivi imekuwaje wakala kifungo?
Sasa mimi kosa langu nini jamani!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha haaaaa nilipoona mwanzoni nilijua ni ka style kapya tu ka avatar. Kumbe ni ban live.. Mod's kawataki mchezo. Week ya nenda kwa usalama hii. Wanafanya reshaping ya behavior.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom