Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miss Natafuta
nitafute na mimi maana yangu haisimami hutajuta kunipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hhmm!!huyo alopigwa ban ya maisha sababu ilikua ipi??jana weng tulipewa ban bila ya kuzijua sababu,maybe kwasababu ya kuleta stry ktk nyuzi za watu si unajua[emoji28][emoji23].io ban ya siku moja tu nmeona siku nzima imekua chungu
Hahaha kudandia nyuzi za watu nmekomaTeh umeshika adabu yako!
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Kama sio mgeni basi shemeji yetu alimkasirisha akamalizia hasira kwetu. Sio kwa ban zile aise[emoji23]
I wish i could be your mgeni one day...
nimetamani nikuone tu roho yangu itulie maana hiyo avatar yako imenikumbusha kipindi kile Moshi. Ulinipiga bonge la msunyo siku moja natamani nikugonge na haka ka ICT kangu.
Roho inaniuma sijui kwa nini... nahisi niende kwa mganga mshana jr
jirani Saint Ivuga unaona ninachofanyiwa, nadharaulika kama kohozi la tb
wewe Smart911 umempa nini dada yetu hakuwaga hivi nilimlea akiwa shule, hukumkuta na kovu wala alama. Leo ata shukrani huna, nimemlinda mpaka ukampata sasa hutambui uwepo wangu
Acha kupotosha wenzako wee dada . . , watu wana afya zao, wanataka mboo . . , wewe unasema wasizitafute . . ?!Wadada mnatuaibisha bhana,hata kama pana uhaba wa wanaume not to that extent.
Kwanza ogopa limwanaume zoazoa afu mnagombana lenyewe lipo kimyaaaa linapanga sheria nani afuatie.
Mwanaume wa kweli haonyeshi utupu wake hovyo hovyo.
Hv wanawake kuishi peke yetu hatuwezi?
Binafsi siwapi first priorty wanaume kabisaa,maana ninejijengea kujiamini nimeandaa na kujipanga vzr kiasi kwa maisha hivyo nikiona mdada anagombea mbo.... namshangaa mno,mbo.... ni nini bhana angalia mustakabali wa misha yako baada ya hapo utaamua nani awe nani sio kupangiwa,kuiba wala kugonbea.
Wanawake tubadilike,kumbukeni heshima unajipa mwenyewe na kamwe haikutafuti.
Nendeni kwenye mabaraza ya usuluhishi wa ndoa mjifunze,wamtu wanajuta kuingia kwenye ndoa.
Nani asiye jua kwmb yapo mababa tena yaliyomo kwenye ndo takatifu kabisa na bado anamvika pete mdada kwa shangwe na nderemo. Nia yake apate K kwa urahisi huku kamfunga na mwisho wa siku anambwaga kama toilet paper chooni.
Umefika wakati wa mabadiliko MIPANGO YAKO MAISHA YAKO sio mwanaume,kwanza kuolewa ni utumwa tu bora kuwa hgirl unalishwa,unauguzwa na unalipwa.
Kikweli sijapenda hayo malumbano.
Nna mengi ya kusema acha muda huu niishie hapa.
Yashakuwa hayo tena.Acha kupotosha wenzako wee dada . . , watu wana afya zao, wanataka **** . . , wewe unasema wasizitafute . . ?!
Wewe ni lesbian . . ?
Yashakuwa hayo tena.
Mwarabu gani fundi hivi . . ?! [emoji23] [emoji106] Umesema vizuri sana Queen . .Miss unajua nn,nmeshuhudia na nmeona mwanaume kaachana na wanawake zaid ya wanne kutokana na sisi wanawake tunakua visirani hasa tukiona tunapendwa kupitiliza ,hua kiburi ndio hulka yetu,sio wote jamani ila wengi wetu sisi kama wanawake,kwaio mwanaume akipata sehem tulivu na kuona thamani yake inaonekana kwa aliempata na akapata mapenzi yote hakika mwanaume hafurukuti,hasa akimpata mke anaeyajulia hayo mambo.ndo mana utakuta mwanaume anaeka ahadi atatulia na mwanamke uyo mpk dakika ya mwisho na kumuoa anamuoa hivi hujui kwann?na baada ya hapo hanaga tena tym na michepuko as first anatulia na yule aliejulia kumhandle ipasavo.mbona inatokeaga sana,mm siwalaumu wanaume kamwe,wanaume ukiwasoma hakika unauwezo wa kumbadilisha utakavo.ila ndio si kila mwanamke ayajua ,ni darasa tosha kila mwanamke ajue wajibu wake, na kamwe pasingekua na mwanaume anaechepuka
Mzigua . . ,Nimejaribu kufuatilia hii league sioni ilipoanzia. Naombeni msaada wa yalipoanzia haya majibizano na mie nile ubuyu.
Binadamu hanyimwi ubuyu ananyimwa pesa.
Ila nimegundua huku kuna mambo mengi zaidi ya nilivyokua nachukulia. Yani kuna watu wanaishi kama wanaonana vile.
NB: Kaka unaegombaniwa kama wewe ni Mkurya naomba namba wakitoka wengine unaonekana mtamu chief sio kwa majibizano hayo.
Hahahaaa... kwani wewe Mkurya chief??Mzigua . . ,
Naomba ni ku pm . .