Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Niliwahi kupata, na tulidumu kwenye uhusiano kwa miaka miwili, he is a good guy but at the end of the day tulishindwana kwenye baadhi ya mambo kama ambavyo tu inaweza kutokea kwa mtu uliyekutana nae hata kanisani or anywhere else. Kikubwa unapaswa kua makini kwenye kuchagua maana humu JF kuna watu wa kila aina kama tu ilivyo mtaani. Kuna wenye nia njema, kuna wenye nia mbaya pia so the choice is yours.
Kweli kabisa. I can move through ur shadow
 
fanya hima uolewe mapema ila ufanyie kazi swala la kumtii mumeo wanawake wengi tunakimbilia kupenda, hujapewa kazi ya kupenda umepewa nafasi ya kutiii ukishamtii yeye akupende akupe na hela , haikisha unatumia hela zake na udeke sahuri yako we kajifanye nunda humo ndani hutaki pesa ohooooo mi nakushauri tu
hahahaha hapo kwenye hela unanifurahisha, miss chagga ulioshewa mhelahela utotoni si bure
 
Any gel ambae yupo serious, mwenye malengo ya kimaisha, age range from 20 to 25. Njoo DM
 
Simtetei,ila siku zote uo ndio ukweli miss[emoji3][emoji1]
Miss venuss popote ulipo kwa mda wako nitafute nkupe maujuzi uyo bwana hata akiwa kazini akukumbuke ww[emoji1].

Hapo lazma watu waseme limbwata,njoo nkupe darasa ,ndani ya mwezi tu bwana anasarenda atakutamkia yy mwenyew sitopenda tena zaidi yako[emoji38][emoji28][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wozaaa,kungwi shkamoo
 
NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza
yeye atakuwa baba wa mtoto wako wa kwanza ,mungu akipenda mimi nitakuwa baba wa mtoto wako wa pili natumai atatokea mwingne atakae kuwa baba wa mtoto wako wa tatu
 
Mtu unaweka bango unahitaji mtu wa sifa Fulani matokeo yake watu wanaokuja wa ajabu mpaka naamini humu hakuna wanawake warembo wabaya wabaya ndio wapo humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh kumbe nikikaza naweza Pata mchepuko humu... njooeni wa dada I don't wanna waiting in vain anymore
 
yeye atakuwa baba wa mtoto wako wa kwanza ,mungu akipenda mimi nitakuwa baba wa mtoto wako wa pili natumai atatokea mwingne atakae kuwa baba wa mtoto wako wa tatu


Na huyo atakayetokea baada yako atakua ni Baba yako!
 
Siamini kama huwa wanakuwa serious nilibahatika kupata mwanamke humu ila ikawa vigumu kukutana nane sababu ya umbia yeye aje one day coz yeye nimfanya biashara next time nilipomtafuta akanijibu usinipigie simu asubui niidhika sana kifupi ni wazinguaji tu hawapo serious
 
Mie Mbona Sijapatwa Maana Kinadada Mnapata Tu. Naombeni Na Mimi Mnipate Kinadada Kama Mnavyowapata Mabroo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Ila Sio Miss Kutafutana Stay Away Please!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom