Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Ghafla bin vuu alikata mawasiliano?
 
Niliweka bandiko langu nahitaji mke <30 lakn we bwana wee....watu ni wagum sana humu.
 
Polee. Mlifanikiwa kuonana au ndo mlikutana na kuachana kwenye mtandao?

Kuna ile mmoja anatangulia eneo la tukio, halafu anakuwa anachungulia, ukimwona mhusika unazima na simu kabisa unaondoka.

Ilishanitokea enzi hizo kabla ya hizi whatsapp, nilikuwa chuo that time.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…