Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza
[emoji122][emoji122][emoji122]Mah
 
Me nilishampta jamaa mmoja humu jamani japo alinizidi umri lakini nilimpenda sana kutoka moyoni na nilikubaliana na yake mazuri hata mabaya pia na tulidumu kwa mda wa wiki tatu (3) alivyonikatia mawasiliano kama upepo unavyokuja na kupotea chap. Sitaki kuamini mpaka kesho ila ninaamini nitampta tu alie sahihi.
 
Nimempata ila sio kupitia Tangazo.. [emoji23][emoji23] ilitokea tu sumaku zilivutana..uwiiii..sijui nimuelezeaje ila NAMPENDA MNO..huyu ndie sahihi kwangu
 
Wakuu kumekuwa na ongezeko kubwa la wadada wanatafuta wachumba humu JF, kama umewai kupata mwenza kupitia JF ..comment neno "ndio"

Je wapo waliopata kweli na wako ktk mausiano serious au ndo kupoteza mda?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom