rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
[emoji1] mpaka leo?Mim hadi leo sijapata pamoja na kutafta sana. Wanaume wa jf mungu anawaona mjue
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] mpaka leo?Mim hadi leo sijapata pamoja na kutafta sana. Wanaume wa jf mungu anawaona mjue
[emoji122][emoji122][emoji122]MahNDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza
Ahaaa dah mbavu zangumimi nimetafuta hadi nimechooka hata sitaki tena natafutia tu watu
Inamaana hunioni aumimi nimetafuta hadi nimechooka hata sitaki tena natafutia tu watu
Ila wewe huoni[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mim hadi leo sijapata pamoja na kutafta sana. Wanaume wa jf mungu anawaona mjue
unatafuta?Ila wewe huoni[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuangalia tuMim hadi leo sijapata pamoja na kutafta sana. Wanaume wa jf mungu anawaona mjue
Nitaftie mm basmimi nimetafuta hadi nimechooka hata sitaki tena natafutia tu watu
Tofauti ipo. Wa JF ni maghost!kwanini wamekukosea nn wakati hawana tofauti na walioko mtaani ?
Du pole sana.... unatafuta mume ama wanaumeMim hadi leo sijapata pamoja na kutafta sana. Wanaume wa jf mungu anawaona mjue
Tofauti ipo. Wa JF ni maghost!
Wakuu kumekuwa na ongezeko kubwa la wadada wanatafuta wachumba humu JF, kama umewai kupata mwenza kupitia JF ..comment neno "ndio"
Wewe nawe...Mi sikutafuta ila tulipatana tu
Wewe nawe...