Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Me nilishampta jamaa mmoja humu jamani japo alinizidi umri lakini nilimpenda sana kutoka moyoni na nilikubaliana na yake mazuri hata mabaya pia na tulidumu kwa mda wa wiki tatu (3) alivyonikatia mawasiliano kama upepo unavyokuja na kupotea chap. Sitaki kuamini mpaka kesho ila ninaamini nitampta tu alie sahihi.
Ghafla bin vuu alikata mawasiliano?
 
Niliweka bandiko langu nahitaji mke <30 lakn we bwana wee....watu ni wagum sana humu.
 
Polee. Mlifanikiwa kuonana au ndo mlikutana na kuachana kwenye mtandao?

Kuna ile mmoja anatangulia eneo la tukio, halafu anakuwa anachungulia, ukimwona mhusika unazima na simu kabisa unaondoka.

Ilishanitokea enzi hizo kabla ya hizi whatsapp, nilikuwa chuo that time.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom