Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Looo! Haitakua mara ya kwanza kuchanganywa...
Mwanaume alie ni-deflower alinidanganya kua niko peke yangu kumbe kuna bi-mkubwa... Nikashangaa napita mtaani napewa msonyo wa maana mpaka tumbo likauma...
Shem wangu alikua ananikubali ndo akanipa mkanda mzima... Sioendagi ugomvi... Nikamfuata bi-mkubwa na kumuomba msamaha... Nikaachana na yule kaka na bi-mkubwa nae akamuacha yuke mkaka...
Mimi na bi-mkubwa tukawa mashosti.!
hahahahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom