Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza
Mweeeeeh
 
Mimi bado natafuta, nikijaribu Ku - pm watoto naambulia matusi
 
NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza
Wengine wanapata bahati. Gingers rubiiii
 
Bado kabiisaa! Wote wazinguaji tu!
Mimi nna experience ya online dating... Ni ngumu mwanaume kunishawishi humu
Haya bana..Ngoja na we siku nikukute unatunishiana misuri na mwanamke mwenzako humu kisa Men..
 
Anayedhani hana bahati tukutane pm.Hamjachelewa mi nipo alolo warembo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom