Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Ambae hana kijana nipo..,.....ntampenda akitaka kupendwa.....cz i do as she do!
 
Nimejifunza mengi leo shosti!!!
Yaani kabla ya kumkubalia mtu PM Ntamuanzishia thread kabisa na jina lake... Ili kama kuna wenzangu wanishambulie mapema kabla sijakosea njia aisee!

Ha ha ha a a a
 
Nimejifunza mengi leo shosti!!!
Yaani kabla ya kumkubalia mtu PM Ntamuanzishia thread kabisa na jina lake... Ili kama kuna wenzangu wanishambulie mapema kabla sijakosea njia aisee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...umenifurahisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom