Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza
Mhhhhhh kazi kweli kweli
 
mmh, kumbe kuna mambo humu jf nilikua sijui kwakweli, ila pia niliwahi tafuta kipindi Fulani wakaja wengi sn inbox mwisho wa cku sikupata wa kweli kwani sikua na haraka nilianza kuchunguza taratibu niakagundua hakuna hata mmoja wa kweli mpaka leo kimya.
 
Nimejifunza mengi leo shosti!!!
Yaani kabla ya kumkubalia mtu PM Ntamuanzishia thread kabisa na jina lake... Ili kama kuna wenzangu wanishambulie mapema kabla sijakosea njia aisee!
Hebu nianzishie huo Uzi![emoji39]
 
Kama mmpo wakinadada ambao hamjapata njooni kwangu nami nitawapumuzisha na tabu za utafutaji ninawaahidi mtafaidi mema ya cnhi kama mtakuja kwangu
 
Niliwahi kupata, na tulidumu kwenye uhusiano kwa miaka miwili, he is a good guy but at the end of the day tulishindwana kwenye baadhi ya mambo kama ambavyo tu inaweza kutokea kwa mtu uliyekutana nae hata kanisani or anywhere else. Kikubwa unapaswa kua makini kwenye kuchagua maana humu JF kuna watu wa kila aina kama tu ilivyo mtaani. Kuna wenye nia njema, kuna wenye nia mbaya pia so the choice is yours.
Umeongea Ukweli sana, ushauri wako ni sahihi mno.
 
Mm natafuta kweli..mwezi ila tatizo humu watu waongo hata picha wanazoweka sizo unaweza date na mtu siku mnaonana...unakutana na kituko hijawah ona
 
Am really sorry kwa mtoa mada na wote waliokwazika kwa haya majibizano yaliyotokea soon btn n' sweetapple.... Am really sorry my love ilinizuia nisijibu chochote ila nilishindwa vumilia am so sorry hun......

Ni ngumu sana kuweza kumuelewesha kila mtu na akaelewa ukweli ni upi ila yes am in love with a man na alinitafuta yeye mwenyewe kwa juhudi zake binafsi na sikumtafuta so kama kuna mtu anahisi nimeingilia kwenye relation ya mtu hicho kitu hakipo na evidence kuwa hawa watu hawapo tena kwenye uhusiano ninazo zote.

Najua sio wote wanaoweza kuamini au kuchukulia kirahisi kwamba wameachana na inakua ngumu hii taarifa kukaa kichwani mwao ila maisha ya mapenzi ndivyo yalivyo mnaweza mkawa mmepanga mambo mengi ila kama kila kitu ni Mungu ndie anatoa last say kama hakupanga muwe pamoja hamuwezi fika popote na hata mkiforce kuingia kwenye ndoa haiwezi kuwa yenye amani

Sina sababu ya kuficha au kuzuia ila ukweli utabaki pale pale na sipo tayari kucheka na yoyote anae jaribu ku enter btn us wala sipo tayari kumchekea

Kwa wale wanaoamini kwamba lazima mtaachana sina hiyo imani na zaidi zaidi nazidisha mapenzi kwake nitaumia tu endapo yeye ndio ataniumiza ila sio sababu mtu wa pembeni kataka nitumie hiyo kwangu haipo

Sweetapple najua mpango wako nikuhakikisha unanichafua vya kutosha but my self l have nothing to fear naamini katika Mungu na yeye ndio atasimama upande wangu na anajua ukweli wote kuliko hata wewe unavyojua so nakuruhusu kufanya lolote utakalohisi litaniangamiza ila kaa ukijua nothing can change my mind naangalia sana furaha yangu na sio kuangalia nini mtu mwingine anataka nifanye.....

Am sorry my love l tried a lot kuwa mpole ila kama binadamu nina ukomo najua mara nyingi umekua ukinihusia kukaa kimya na leo pia umenishauri sana baada ya kuona hii kitu ila nilishindwa kujizuia..... Samahani wana jf wote ila what I believe dhahabu haiwezi kuwa dhahabu bila kupitia kwenye moto na mimi ilikua ni lazima niyapitie haya na nna amini nitayashinda kwa uwezo wa Mungu

na mi nataka 🙁 kumbe inawezekana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom