Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kasuggest mtumie niniLugola amekataza kutumia mikono kupiga nyetto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasuggest mtumie niniLugola amekataza kutumia mikono kupiga nyetto
Kasuggest mtumie nini
Avatar yako mkuuMara ooh nipo hospitali nirushie hela niongezee hela ya dawa
Mnacomplicate sana maisha watu humu ndani,sioni sababu ya kulalamika hapa,sidhani kama kuna watu watakuja kuoa humu ndani.
Sababu kama unalalamika kuombwa hela ya dawa,ukiambiwa ukweni nyumba imebomolewa na mafuriko utafanyaje,au utachukulia umepewa tu taarifa ili ufahamu,baasi.
Unalalamika kuombwa msaada wa kusaidia mgonjwa apone? We ni undertaker nini?
Leo hii US $ inakaribia 2400, life is getting toughJamani nyie mashahidi uchumi ulivyoyumba. Dola imefika 2070 tuoneeni huruma
Kuna kademu flani nimekatongoza last week,ni kadenti ka form 5,sasa kanamaliza mitihani kesho ijumaa tumekubaliana kakitoka shule(boarding) kaje kwanza nikagegede kisha ndio kaende kwao. Sasa kalinisumbua hadi juzi ndio kamenikubali,hapohapo kakaniomba elfu 25 nikakapa....sasa nikakauliza tukionana kesho nikape zawadi gani?kamesema kanataka Samsung S6...shenzityp....sasa ntakagegeda na simu hakapati!
Hahaaa ... njooni Mzigua90 Shunie RaynaveroKuna mmoja pale iringa alikuwa ananisumbua sanaaaaa... Nikamtumia laki 3 kwenye simu wakati tuko gesti nikatikita goma kavu kavu mpaka nikakinai..nikatoka nje nikapiga simu voda kuwa nimekosea kutuma hela naomba wairudishe...wakaiblock kwake ikarudi kwangu...asubui niko njiani narudi dar ile nafika mikumi network inashika nakutana na mimeseji ya matusiiiiii....masikini alienda mpaka vodashop wakamwambie mpunga umerudishwa kwa mwenyewe...shenzi ...yaani niko town kitambo afu ninunue mbunye iringa kwa laki tatu? Tufyakwaaa
Aisee hahaahivi kama kitu umepewa bure kwa nini we utoze hela kumpatia mwenzako?
kwa mfano mi ni free of charge kwa anaetaka ku use my dushe.
na cjawahi kumtoza mtu kwa wote waliowah kuniomba.
Dah inabidi ifunguliwe mahakama ya wezi wa mtandaoniMama anaumwa! Sina hela ya kula! Vocha uliyonitumia imekatwa nilikuwa nimekopa! Kuna kitop nimekipenda nimekopa dear! Nadaiwa hela ya mchezo honey! Sijaona meseji ya hela uliyonitumia sweetie! Baby nina hamu na juice!
Ha ha ha ha aaah! Mjini shule mkuu! Mi nachekaga sana!
Mademu wa kibongo wana njaa sana wanapenda mizinga isiyo na kichwa wala miguuDaah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.
Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?
Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
Marioo ndo habare ya mjini....Hata wanaume uwa mnapiga mizinga marioozz
10,000 x 7 days/weekRULE 1: Mzinga usizidi 10,000/= kwa siku
Sijawahi kutana na kiumbe wa namna hii...kama wapo basi ni asilimia 5 tuKuna wengine huomba hela kwa lengo la kukufukuza...mtu anakuambia hakutaki we unazidi mng'ang'ania ili kukufukuza anakuomba tu Ela akukomoe
Wengine hawaombi hela kabisa,hela utampa ukijisikia wewe...unless Ana shida Sana ambayo kweli ipo juu ya uwezo wake
Sent using Jamii Forums mobile app