Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Mnacomplicate sana maisha watu humu ndani,sioni sababu ya kulalamika hapa,sidhani kama kuna watu watakuja kuoa humu ndani.

Sababu kama unalalamika kuombwa hela ya dawa,ukiambiwa ukweni nyumba imebomolewa na mafuriko utafanyaje,au utachukulia umepewa tu taarifa ili ufahamu,baasi.

Unalalamika kuombwa msaada wa kusaidia mgonjwa apone? We ni undertaker nini?

😂😂😂😂 waambie hao....hawawez kuoa kbs hawa
 
Hahaa
Kuna kademu flani nimekatongoza last week,ni kadenti ka form 5,sasa kanamaliza mitihani kesho ijumaa tumekubaliana kakitoka shule(boarding) kaje kwanza nikagegede kisha ndio kaende kwao. Sasa kalinisumbua hadi juzi ndio kamenikubali,hapohapo kakaniomba elfu 25 nikakapa....sasa nikakauliza tukionana kesho nikape zawadi gani?kamesema kanataka Samsung S6...shenzityp....sasa ntakagegeda na simu hakapati!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja pale iringa alikuwa ananisumbua sanaaaaa... Nikamtumia laki 3 kwenye simu wakati tuko gesti nikatikita goma kavu kavu mpaka nikakinai..nikatoka nje nikapiga simu voda kuwa nimekosea kutuma hela naomba wairudishe...wakaiblock kwake ikarudi kwangu...asubui niko njiani narudi dar ile nafika mikumi network inashika nakutana na mimeseji ya matusiiiiii....masikini alienda mpaka vodashop wakamwambie mpunga umerudishwa kwa mwenyewe...shenzi ...yaani niko town kitambo afu ninunue mbunye iringa kwa laki tatu? Tufyakwaaa
Hahaaa ... njooni Mzigua90 Shunie Raynavero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama anaumwa! Sina hela ya kula! Vocha uliyonitumia imekatwa nilikuwa nimekopa! Kuna kitop nimekipenda nimekopa dear! Nadaiwa hela ya mchezo honey! Sijaona meseji ya hela uliyonitumia sweetie! Baby nina hamu na juice!
Ha ha ha ha aaah! Mjini shule mkuu! Mi nachekaga sana!
Dah inabidi ifunguliwe mahakama ya wezi wa mtandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah! jamani hii ni hatari yaani usimzoee mdada kidogo tu hata hujamtongoza kashaanza kukupiga mzinga mara ninunulie simu, hela saloon, mara weekend twende wapi! mara mama anaumwa naomba uniongezee hela ya dawa.

Kina dada hali yenyewe si mnaiona jamani?

Mbona mnataka tuwe wezi bila kutaka?
Mademu wa kibongo wana njaa sana wanapenda mizinga isiyo na kichwa wala miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine huomba hela kwa lengo la kukufukuza...mtu anakuambia hakutaki we unazidi mng'ang'ania ili kukufukuza anakuomba tu Ela akukomoe

Wengine hawaombi hela kabisa,hela utampa ukijisikia wewe...unless Ana shida Sana ambayo kweli ipo juu ya uwezo wake


Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kutana na kiumbe wa namna hii...kama wapo basi ni asilimia 5 tu
 
Back
Top Bottom