Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

Tunajisikia vizuri kwa sababu kufahamiana kunaanzia hapo
 
πŸ˜‚
πŸ˜‚Kama sio tall na dark handsome unajisikiaje?
 
Mara eeeeh!! Sijawahi kua nadem.. Mara oooh Natumia cold approach kuwapata..

Huyu ni Extrovert mzoefu.
Ana gundu na nuksi hapo mtaani kwao, ndo maana anapigwa cha mbavuu anaishia kutongoza wa mbalii.

Atutolee njegekaa zake hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Introvert uchwaraa ktk uboraa wakoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutoleee ashuoo hapaa, mxxxxiiiiiieeeeew.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sister unataka introvert awe na Domo zege na aibu Fulani hivi
Mimi ni introvert kiasili Ila nikiwa sehemu ambayo sijulikani nakuwa na confidence ya hatari ambayo Kama unaishi na Mimi karibu au unanijua unaeza kukataa kwamba sio mimi
 
Tokaaa, wee sio introvert, ni anti social uliyechangamkaaa.
Em hukoo, khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…