Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

Hahhahahaa hakuna kitu hapo 😂 saivi tunataka kitu sealed, zero kilometer.

Unajua shida nini ukioa mtumba, kuchapiwa ni kwingi mno.

Sawa mwanaume unaweza ukakaza siku kadhaa ukalifumbia macho ila one day lazima utajihoji, kuwa mke hukumkuta bikra je past yake ikoje? Why sijamkuta bikra why, But why, why¿¿¿¿
😅😅😅😅 Siku hizi kuna ubakaji
 
Gen Z inawezekana ndio kizazi chenye IQ ndogo kuliko vizazi vyote. Haya maswali ya kitoto yanakera sana. Wanaume wote tunaonekana stupid
😂😂😂😂Shida ya wanaume sio wote wengi wenu mliozaliwa miaka ya 1980 mpaka 1995 mnajifanyaga ni vidume Sana lakini nyuma ya pazia Hamna jipya ndio generation ya wanaume mnaongoza kutombewa wake zenu na mademu zenu katika generation zote za wanaume tangu hii nchi imepata uhuru Ila ndio mnajifanyaga mpo masculine kweli japo sio wote Ila wengi wenu mna ujinga Fulani wakujiona vidume Ila kesi nyingi za kulalamika kutombewa wake zao😂 ni la Rika lenu sio humu jamiiforum au mtaani wengi wanaolalamika ni Rika lenu,
mademu zenu wa Rika moja ndio hii mishangazi ya Sasa kazi kutafuta viben ten Sijui hamuwalidhishi😂😂
 
Kasheshe imeanza 🤣
 
Back
Top Bottom