Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

Niko mkoani fam, leo tumeshinda na mvua alafu. Poleni dada. Hapa nataka nisogee Liquor store ya karibu nikawahi ku connect bluetooth. Lipa namba inakuja sio muda, hahaha
Fam pole sana aisee.!!
Mvua mkoani kipindi hiki?
Ww fika kwanza usijali sis wako nipo
 
Una maanisha hata baba yako anatombew* au mimi ndio sijaelewa vizuri? And who told you tumezaliwa kipindi hicho ulichoandika? Probably umenizidi umri πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wala huwa hawajali. Mimi mwenyewe demu tukijuana sana huwa anakuwa dada yangu mpya ndio huwa mwepesi kutongoza
 
Mwaka fulani natoka K.koo naelekea Tabata Kimanga, nikapanda daladala na binti mmoja siti za jirani. Nilikuwa nameza mate throughout yani, bahati nzuri yule dada alikuwa anashuka kituo cha mwisho kama mimi. Hakika tulivyoshuka niliweka aibu yote pembeni, tukasemezana kidogo nikapewa namba, the rest was history.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…