Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

Niko mkoani fam, leo tumeshinda na mvua alafu. Poleni dada. Hapa nataka nisogee Liquor store ya karibu nikawahi ku connect bluetooth. Lipa namba inakuja sio muda, hahaha
Fam pole sana aisee.!!
Mvua mkoani kipindi hiki?
Ww fika kwanza usijali sis wako nipo
 
😂😂😂😂Shida ya wanaume sio wote wengi wenu mliozaliwa miaka ya 1980 mpaka 1995 mnajifanyaga ni vidume Sana lakini nyuma ya pazia Hamna jipya ndio generation ya wanaume mnaongoza kutombewa wake zenu na mademu zenu katika generation zote za wanaume tangu hii nchi imepata uhuru Ila ndio mnajifanyaga mpo masculine kweli japo sio wote Ila wengi wenu mna ujinga Fulani wakujiona vidume Ila kesi nyingi za kulalamika kutombewa wake zao😂 ni la Rika lenu sio humu jamiiforum au mtaani wengi wanaolalamika ni Rika lenu,
mademu zenu wa Rika moja ndio hii mishangazi ya Sasa kazi kutafuta viben ten Sijui hamuwalidhishi😂😂
Una maanisha hata baba yako anatombew* au mimi ndio sijaelewa vizuri? And who told you tumezaliwa kipindi hicho ulichoandika? Probably umenizidi umri 😂😂
 
Mwaka fulani natoka K.koo naelekea Tabata Kimanga, nikapanda daladala na binti mmoja siti za jirani. Nilikuwa nameza mate throughout yani, bahati nzuri yule dada alikuwa anashuka kituo cha mwisho kama mimi. Hakika tulivyoshuka niliweka aibu yote pembeni, tukasemezana kidogo nikapewa namba, the rest was history.
 
Back
Top Bottom