Wadada mnakera sana some times

Sasa nikijua tatizo ni nini naweza tengeneza?! Fundi akuje ajue tatizo atengeneze
Tupo tofauti sana mkuu mm gari ikizingua lazima nijue tatizo ili next time ikingua porini napambana nalo mwenyewe
 
Si wote. Ila kwa hao, uamuzi wako ulikuwa sahihi. Sasa kama ulichukua mrupo ulitegemea nini. Nina uhakika kama ni mtu wako wa siku zote asingekuacha unahangaika na usafiri ye atangulie
 
Jamaa ndo anawajua mie mgeni ila walipozingua nkamwambia jamaa tuwateme tutafute kijiwe kingine
Si wote. Ila kwa hao, uamuzi wako ulikuwa sahihi. Sasa kama ulichukua mrupo ulitegemea nini. Nina uhakika kama ni mtu wako wa siku zote asingekuacha unahangaika na usafiri ye atangulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…