Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Kinachokutoa kwenye gari ni nini eti, tukae ndani fundi atengenezeUnasimama na man wako nje unampa moyo wakati fundi akichakarika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachokutoa kwenye gari ni nini eti, tukae ndani fundi atengenezeUnasimama na man wako nje unampa moyo wakati fundi akichakarika
Kinachokutoa kwenye gari ni nini eti, tukae ndani funding atengeneze
Sasa nikijua tatizo ni nini naweza tengeneza?! Fundi akuje ajue tatizo atengenezeNyie wadada bhana sa ukikaa nje utajua tatizo ni nn? Someyimes mnaibiwa na mafundi
Tupo tofauti sana mkuu mm gari ikizingua lazima nijue tatizo ili next time ikingua porini napambana nalo mwenyeweSasa nikijua tatizo ni nini naweza tengeneza?! Fundi akuje ajue tatizo atengeneze
OooohTupo tofauti sana mkuu mm gari ikizingua lazima nijue tatizo ili next time ikingua porini napambana nalo mwenyewe
Ooooh
Sasa mie porini naenda fanya nini na gari, tena peke yangu?!
Pole sana MkuuHivi navoandika nipo Kibondo napambana na hali yangu. Na home ni Dar
Nipe hongera mkuu sio polePole sana Mkuu
Hongera sana MkuuNipe hongera mkuu sio pole
Hongera sana Mkuu
Naona ameshaondokaNdo yupi mkuu[emoji848][emoji848][emoji848]
Naona ameshaondoka
Mwenyewe
Umefurahi nini eti[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Umefurahi nini eti
Sawa bwana!Fatilia huko juu utajua
Si wote. Ila kwa hao, uamuzi wako ulikuwa sahihi. Sasa kama ulichukua mrupo ulitegemea nini. Nina uhakika kama ni mtu wako wa siku zote asingekuacha unahangaika na usafiri ye atangulieNipo na mchizi wangu, kaja na wadada wawili tukawa tunatoka out, njiani gari ikazingua wale mademu kwa kuwa wanajua destination wakachukua bajaji wakatangulia.
Yaani gari ikipata hitilafu wanawake wanaona kama wanadhalilishwa shenzi sana [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34], aisee nilimind sana nkamwambia jamaa turudi twende kijiwe kingine baada ya gari kutengemaa tuwaache wale wanawake wafanye yao, Sasa kama wameagiza vinywaji na vyakula wakizani tutalipa imekula kwao.
Uzi tayari karibuni tujadiliView attachment 1127822View attachment 1127824
Si wote. Ila kwa hao, uamuzi wako ulikuwa sahihi. Sasa kama ulichukua mrupo ulitegemea nini. Nina uhakika kama ni mtu wako wa siku zote asingekuacha unahangaika na usafiri ye atangulie
Siku nyingine usije kunichukua na mgari wako mbovu!hawana kitu wale.
wanawake ndo mlivyo gari ikizingua njiani mnajifanya matawi[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]