Nipo na mchizi wangu, kaja na wadada wawili tukawa tunatoka out, njiani gari ikazingua wale mademu kwa kuwa wanajua destination wakachukua bajaji wakatangulia.
Yaani gari ikipata hitilafu wanawake wanaona kama wanadhalilishwa shenzi sana [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34], aisee nilimind sana nkamwambia jamaa turudi twende kijiwe kingine baada ya gari kutengemaa tuwaache wale wanawake wafanye yao, Sasa kama wameagiza vinywaji na vyakula wakizani tutalipa imekula kwao.
Uzi tayari karibuni tujadili
View attachment 1127822View attachment 1127824