Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Pambana na hali yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akae kwa kutulia kama mimi tu kwani shilling ngapi?Sasa kama umekataliwa si utulie tuu
..unalia lia nini
Itoshe kusema atafute pesaHivi akikuambia nilipie faini ya trafiki utalipa kweli?
Au aseme yupo gereji kapungukiwa elfu 50 ... inahitajika..utapokea simu au ndo utam block moja Kwa moja?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Yani kubeba msalaba hatua 20 tu unalalamika hivo, ungekuwa Simon wa kirene si ungetuachia laana dunia yote
[emoji23][emoji23][emoji23]we ongoza sala tu ndio unachoweza na kujifanya uko bise unasali[emoji23]
utakuja uchomwe moto vibaya wewe
Hiyo bikra unaitaka ya nini!? Ukisikia ushirikina ndio huo!Dem zenyw zinalinga utafikiri bikra bado zipo
Iyo kitu ina utamu wake bhna au wewe unataka kujifanya ujuiHiyo bikra unaitaka ya nini!? Ukisikia ushirikina ndio huo!
😅😅😅😅😅Mko poa
Nisiwachoshe Ipo hivi juzi hapa jumuiya ilikuwa kwangu tulisali vizuri tu sasa baada ya kumaliza ambaye anachukua msalaba ni mtu wa iabu huyu dada tumuite Bupe.
Aliniomba nimpelekee msalaba jioni kwao ana kaa na wazazi wake kwao wako na mapesa nje yapo magar 5 kuna nissani duals 2, kuna forester, kuna noah, ili moja silijui jina.
Nilimuomba namba maana wao ukienda piga hodi pale hawafungui wana kuzoom tu kwenye camera wana gorofa, akanipa mm nikampotezea nikasema siendi kwao mimi wiki nzima napita kwao kimya .
Jumamos ikafika nikadamka mapema sana nikawahi pale kwao mimi ndio nilikuwa wa kwaza nikafika pale nika pleas oh namba kumbe sikusev akawa analalamika oh just help kutafakari neno pleas na kusoma neno mara ya pili, nikamtoa hofu usijali gafla akaja mdada mwingine akaaa mbele yeyu akasema nitasoma somo mara ya pili ikawa imeisha.
Nikiwa pale tunasali nikawa najifanya nipo bise tumemaliza kusali ndio anza niambia una jua baba kaondoka na mam wapo moshi nikawa na msikiliza mwisho nikamuomba andika namb hapa nitakupigia tuongee vzr bado na usingizi .
Siku iliisha sikumcheki nikaja kumcheki akajibu vyema tu ila maringo mengi sana mpaka moto unakata ukimpigia simu apokei anapokea kwakuchelewa kisingizio nadrive sasa nimeamua kumpotezea kabisa naona ananiletea ujinga ni mkaguzi masaki tupo jiran tu na napofanya mimi kazi ila mwanamke wa maringo mengi hapana
Umbea umekufikia leo 😂😅😅😅😅😅
😅😅😅 Pole ...Umbea umekufikia leo 😂
huu mtongozo tuliopo cuba tumeuelewa aiseeMfano jirani yangu na JF yumo.. yaani ata kusalimia hasalimii anatupita apa kijiweni kisa si boda ata kushusha kioo kusema mambo zenu hataki..
Zikufikie popote ulipo L.
Nishapoa😅😅😅 Pole ...
tafuta majobless hawaringi sana 😅😅Nishapoa
Uongo!Iyo kitu ina utamu wake bhna au wewe unataka kujifanya ujui
Tuanze kuomba vocha?tafuta majobless hawaringi sana 😅😅
Ungekuwa nayo ningekuja kukuonesha utamu wake upo wapiUongo!