Wadada mnaoendesha magari na wenye kazi nzuri acheni kulinga mtazeeka mkiwa kwenu

We komaa na maisha pambana, itafika kipindi demu anakutega we hujui mpaka anakutamkia anataka umng'oe. Ukifikiria sex au mademu hutowapata ila unapoanza kuwa busy ndo wanaanza kukusumbua.
 
wewe ndio una matatizo na unadeka
Umepewa hukupiga
Umekaa wiki zima unadengua
Namba hukusevu
Mmejikuta wote mnaringa
Mwanaume ukiwa na Mandingo ndio uringe tena baada ya kumtafuna.
 

Kwanza we jamaa hata uandishi wako unaonekana ni mshamba sana limbukeni wa kutupwa, ndio maana mdogo wangu anakuchezea hakili [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…