Wadada mnaotokea Muleba na Karagwe mnakuja kutafuta maisha Dar hebu badilikeni

All in all sio kila malaya anajiuza na sio kila anaejiuza ni malaya. That's it!
 
All in all sio kila malaya anajiuza na sio kila anaejiuza ni malaya. That's it!
Mtu hawezi Jiuza, alafu asiwe malaya, ila ni kweli mtu, anaweza asijiuze, na akawa malaya, hapo ndipo unapotakiwa kujua neno malaya nini maana yake.
 
Mm najua wote ni wahaya sababu wanaongea kihaya, sijawahi kupita hayo maeneo nikakuta watu wanaongea 'kamweenee, au ughoniile au shimboni' huwa naskia 'waakola waittuu' katika mazingira hayo utasema kuna kabila gani hapo?

Acha ujinga, so kila anayeongea kihaya ni mhaya?
 
Mtu hawezi Jiuza, alafu asiwe malaya, ila ni kweli mtu, anaweza asijiuze, na akawa malaya, hapo ndipo unapotakiwa kujua neno malaya nini maana yake.
Kwani mtu akijiuza kwa mwanaume mmoja tu anakuwa hajajiuza?? Kujiuza sio lazima iwe ni kwa wanaume wengi. Ndo maana nimekwambia karibia wanawake wote wanajiuza, ila wanatofautiana approach, dau na style.

Hata huyo dem wako ukiangalia vizuri unaweza kukuta anajiuza kwako. Ukitaka kunielewa subiri hela ikuishie/ufirisike
 
Sawa, unadhani akifanya hivyo ndiyo hatakua malaya, nae atakua malaya tu, au wewe unadhani neno malaya nimeanzisha mimi, mpaka liwe na mpaka.
Mimi nimelikuta, ikiwa na maana mtu anaetembea na mtu zaidi ya mmoja nje ya ndoa.
 
Acha ujinga, so kila anayeongea kihaya ni mhaya?
Ila ishara ya kutambua, mji, Unawaislam, au Wakristo ni Misikiti na Makanisa.
Na ukisikia Lugha inaongelwa sana eneo hilo, jua wenye Lugha hiyo wapo hapo.

Haiwezekani mji wa Wahehe usikie watu wanaongea Kihaya tu.
 
Mleta mada ana Smart phone ya laki nne lakini hamna suruali yake hata moja iliyokosa viraka makalioni
 
Kinyesi hakisafishwi,hata umimine ndoo ngapi kwenye kinyesi harufu ipo palepale.Wahaya wanafahamika kwa ile biashara haramu hata ujitetee vipi unahangaika bure
 
Uko sahihi mkuu; mleta mada ana mawazo mgando.
 
Kinyesi hakisafishwi,hata umimine ndoo ngapi kwenye kinyesi harufu ipo palepale.Wahaya wanafahamika kwa ile biashara haramu hata ujitetee vipi unahangaika bure
Kwenye ile biashara ya Ngono...wahaya ndio wengi zaidi

Wanapenda sana ngono.
 
Umeona kuna tusi gani hapo? nioneshe acha jazba!
Tusi llpo pale kwa jamii nyingine, labda kwa mila zenu.

Narudia ulichoandika: Mbona mama yako siyo mhaya lakini yumo.
Sasa maneno haya ukilinganisha mada iliyopo ni hili ni tusi.

Mkuu kwa kawaida, hapa zipo bada zinazoumiza wengine, ila ni bora kijibu kwa hoja, nikuambie kutukaniwa mama inauma sana, najua ndiyo nia yako aumie ila sio vizuri, hata ungemwambia, wewe fedhuri ingetosha.

Mimi sina Jazba maana mimi mtu wa pwani, Sisi watu wa pwani maneno mengi tu, tunapigana kwa maneno tu.
Hatujui kukasirika, maana matusi ni kipimo cha kukasirika.
 
Jamani Wahaya Mbona mnawazonga sana. Hizo tabia zillisha isha kwa Wahaya miaka mingi iliyopita.
Wahaya sio malaya kwa tabia kulikuwa vichocheo vilivyofanya baadhi ya mabinti wa Kihaya kujihuzisha na mambo hayo.

Kama ile ingekuwa ni tabia basi wangeongoza kwa UKIMWI mpaka sasa.

Shida ni moja wanaojiingiza kwenye biashara hii wengi hujitambulisha kuwa ni What's, rejea suala la umalaya feki wa mabinti wa UDOM.

Wahaya sio wavivu. Wanajituma kwenye mashamba yao.
Ni waanzilishi wa BODABODA wenyewe huuita SEKIDO. Ni wakulima wazuri wa kilimo mseto na kilimo hifadhi ya udongo.

Ni waanzilishi wa vikundi vya kusaidiana nchini. Tangu miaka ya 1940s.

Hizi propaganda za kuwa ni Malaya hazifai. Siku hizi hili janga la nchi. Tusaidiane ktk kulimaliza. Sio kunyosheana vidole. Haimsadii mtu yeyote.


Wanajituma sana kusomesha watoto wao.
 
Acha ujinga, so kila anayeongea kihaya ni mhaya?
Siyo ujinga, mojawapo ya kigezo cha mtu kuwa kabila fulani ni lugha, na wale Malaya wamekidhi hicho kigezo. Leta fact ya kutuaminisha kuwa wale siyo wahaya. By the way, kama siyo wahaya kwa nn wamejifunza kihaya? Kihaya ni lugha rasmi ya Malaya? Kwa mini wasijifunze kiluguru? Naomba majibu ya haya maswali siyo unatoa majibu rahis rahisi kwa maswali magumu
 
Ila ishara ya kutambua, mji, Unawaislam, au Wakristo ni Misikiti na Makanisa.
Na ukisikia Lugha inaongelwa sana eneo hilo, jua wenye Lugha hiyo wapo hapo.

Haiwezekani mji wa Wahehe usikie watu wanaongea Kihaya tu.

Ukienda mji kama bukoba utakuta watu wanaongea kihaya sehemu zote mpaka kanisani, hivyo inakuwa rahisi mgeni yeyote kukijua kihaya na kukizungumza, lakini kuzungumza kuhaya hakukufanyi na wewe kuwa muhaya
 
Bora kuuuza k?au bora kuuza tako kama baadhi ya wanaume wa Dar?
Hawa wote wanauza tako, ni wanaume wa mikoani hawa. Shida hunza pale mwanamme wa mkoani anapotaka kuonekana, nae wa mjini.

Atanza kusuka nywele, sikio moja aweke heleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…