Habarini,
Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili.
Tuje kwa ground kwenye takwimu zisizo rasmi hasa kwa hii nchi yetu ya ulimwengu wa 3
Wanaume wengi wenye uchumi imara mfano wenye biashara nyingi zinazowalipa vizuri ni waume za watu, au unakuta ni wababu wenye miaka 56+, hao wanaume utajenga nao future gani?
Kwa vijana sisi (25-34) wengi uchumi wetu ni mashkolo mageni aidha ni jobless au kijana akijitahidi sana ana kijimshahara cha kulipwa kila mwezi ambako hakifiki tarehe 15..
Ukimkuta kijana yuko vizuri kiuchumi mwenye biashara zake, kajipata kwa njia halali, ukiachilia waliorithi mali toka kwa wazazi wao, ni wachache sana
Kati ya hao wanaume wenye hela, hujawatoa waume za watu, wababu, wenye hela za masharti ya kichawi, kina anko t, wenye hela haramu k.v majambazi, wauza madawa ya kulevya, hapo kuna na wale wanaume ambao anakuhudumia ila hana nia nzuri na wewe, labda anataka akuambukize ukimwi, au akuombe kinyume na maumbile
Naona kitakwimu ni rahisi kuonana mtaani na wadada warembo kuliko kuonana na wanaume wenye hela..
Au dada zangu mnataka wanaume wa kuwahudumia sh ngapi kwa mwezi, maana kama ni elf 25 tu, pm ya holoholo ipo wazi 😁