Wadada mnavosema mnataka mwanaume wa kuwahudumia, kipato cha huyo mwanaume kiwe ni sh ngapi kwa mwezi?

Wadada mnavosema mnataka mwanaume wa kuwahudumia, kipato cha huyo mwanaume kiwe ni sh ngapi kwa mwezi?

Kwa hapa nitatofautiana kidogo na wewe.

Naamini mdada kukuuzia kunakuja pale ambapo hana hisia za kimapenzi na wewe, akikuona chini hapaloi, ila yupo na wewe sababu unampa hela.

Ila kama mdada amevutiwa na wewe kimapenzi, na wewe umemkubali, umeona ana-struggle kiuchumi, sioni kama ni vibaya kum-boost kipesa, kwenye situation hii sioni kama mdada anakuuzia Natafuta Ajira
Kipaumbele cha wanawake ni financial security, sio mahitaji ya kihisia. Mwanamke akiwa kwenye situation ya kutakiwa kuchagua moja kati ya mwanaume anaempenda kwa dhati na mwanaume anaeweza kumpa financial security. Atachagua kwenye uhakika wa kupata financial security.

Tengeneza maisha yako halafu chagua mwanamke anaendana na standards zako. There is no unconditional love for a man. As a man you will loved on condition that you are able to provide and protect.

Kwahiyo mwanaume usi-focus sana kwenye kutaka kupendwa. Just strive to be a man no one can ignore. Masuala ya kupendwa waachie wanawake na watoto
 
Habarini,

Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili.

Tuje kwa ground kwenye takwimu zisizo rasmi hasa kwa hii nchi yetu ya ulimwengu wa 3

Wanaume wengi wenye uchumi imara mfano wenye biashara nyingi zinazowalipa vizuri ni waume za watu, au unakuta ni wababu wenye miaka 56+, hao wanaume utajenga nao future gani?

Kwa vijana sisi (25-34) wengi uchumi wetu ni mashkolo mageni aidha ni jobless au kijana akijitahidi sana ana kijimshahara cha kulipwa kila mwezi ambako hakifiki tarehe 15..

Ukimkuta kijana yuko vizuri kiuchumi mwenye biashara zake, kajipata kwa njia halali, ukiachilia waliorithi mali toka kwa wazazi wao, ni wachache sana

Kati ya hao wanaume wenye hela, hujawatoa waume za watu, wababu, wenye hela za masharti ya kichawi, kina anko t, wenye hela haramu k.v majambazi, wauza madawa ya kulevya, hapo kuna na wale wanaume ambao anakuhudumia ila hana nia nzuri na wewe, labda anataka akuambukize ukimwi, au akuombe kinyume na maumbile

Naona kitakwimu ni rahisi kuonana mtaani na wadada warembo kuliko kuonana na wanaume wenye hela..

Au dada zangu mnataka wanaume wa kuwahudumia sh ngapi kwa mwezi, maana kama ni elf 25 tu, pm ya holoholo ipo wazi 😁
Mambo yao waachie wenyewe.
 
Umenena vyema Legend
Vijana achaneni na masuala ya kuhudumia. Nunueni. Batch ya wanawake tulionao sasa sio wale wanaostahili efforts na sacrifices za mwanaume

Mbona K za rejareja zimejaa mtaani. Halafu hata huyo unaemhudumia kimsingi ni anakuuzia indirectly tu.
 
Back
Top Bottom