Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Uongo wanini sasa huamini au?Acha uongo basi huna gharama kweli afu 3?

Kumbe mpaka buku tamu eeh?Kweli ndugu yangu hunitakii mema🥺
Kwanza una buku hapo?
Aah hapana sijakubari badoUongo wanini sasa huamini au?
Si ndio☺️Kumbe mpaka buku tamu eeh?
Kipi kichina hapo?Aah hapana sijakubari bado
sio wafanye kazi,ni waolewe! Maana katika kufanya kazi hupelekea kujiuza.Wadada wanapenda tu kudhalilika, kwa nini wasifanye kazi wajihudumie wenyewe! Unakuta binti mzuri na akili timamu anakuwa ombaomba, what a waste!
Siwezi kumtongoza mwanamke asiye ya shughuli rasmi ya kipato cha kumtosheleza. Never!
Sawa basi uje uichukueSi ndio☺️
Haya basi sawaKipi kichina hapo?
Mimi na wewe lazima tuzeeke pamoja
Swali la msingi lipo kwako.. Kwanini uwahudumie?? Hiyo sheria imetoka wapi???Habarini,
Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili.
Tuje kwa ground kwenye takwimu zisizo rasmi hasa kwa hii nchi yetu ya ulimwengu wa 3
Wanaume wengi wenye uchumi imara mfano wenye biashara nyingi zinazowalipa vizuri ni waume za watu, au unakuta ni wababu wenye miaka 56+, hao wanaume utajenga nao future gani?
Kwa vijana sisi (25-34) wengi uchumi wetu ni mashkolo mageni aidha ni jobless au kijana akijitahidi sana ana kijimshahara cha kulipwa kila mwezi ambako hakifiki tarehe 15..
Ukimkuta kijana yuko vizuri kiuchumi mwenye biashara zake, kajipata kwa njia halali, ukiachilia waliorithi mali toka kwa wazazi wao, ni wachache sana
Kati ya hao wanaume wenye hela, hujawatoa waume za watu, wababu, wenye hela za masharti ya kichawi, kina anko t, wenye hela haramu k.v majambazi, wauza madawa ya kulevya, hapo kuna na wale wanaume ambao anakuhudumia ila hana nia nzuri na wewe, labda anataka akuambukize ukimwi, au akuombe kinyume na maumbile
Naona kitakwimu ni rahisi kuonana mtaani na wadada warembo kuliko kuonana na wanaume wenye hela..
Au dada zangu mnataka wanaume wa kuwahudumia sh ngapi kwa mwezi, maana kama ni elf 25 tu, pm ya holoholo ipo wazi 😁
Sio kwa hiyo aftatu yako😅Mimi na wewe lazima tuzeeke pamoja
Tafuta sugar mommy ule maisha. Unajiwekea usiku bure!😁Habarini,

Ngoja nikatafute kibibi kizee cha kizungu,nile mafao yakeSio kwa hiyo aftatu yako😅
Lakini tumeambiwa ktk mithali 18:22 Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA,
so kwanini wanawake wawe vitu vya ajabu
Ngoja nikatafute kibibi kizee cha kizungu,nile mafao yake
umefanana naye