Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Anayehudumiwa ni mtoto, mgonjwa na mzee
Unasubiri nini sasa?Kuweka ndani uongo mzee. Bado nipo nipo sana.
Wewe kwanini kila uzi lazima utaje hiko kiungo tupe siri yako!Ule uzi wa kule mafichoni ule wa naniu sijui nini kusema nini wenyewe wanajisifia kunywa mitungi?
Nikiwaza kuishi na mtu mpaka nife naishiwa nguvu zote!Nunua jumla tia ndani!
Naharakia wapi? Kwani saivi nakosa nini?Unasubiri nini sasa?
Kwa hapa nitatofautiana kidogo na wewe.Halafu hata huyo unaemhudumia kimsingi ni anakuuzia indirectly tu.
Hebu nitumie kabisa kabisa hiyo bajeti ndio tuyajenge!Bajeti yangu ni 30,000/= kwa mwezi ya kukuhudumia, kama kuna pisi kali humu inakataa upweke njoo kwa mbio za farasi, nafasi ni moja tu wahitaji ni wengi.
Mimi kuna Malikia mrembo fulani mtoto wa Kinyakyusa nimemuelewa sana hakuna namna ngoja nifanye hivyo mimi sipo sipo sana nishaokotaokota sana najua risk zake zipoje unapiga leo unajiuguza gonjwa sugu fulani mwezi au miezi ukipiga tena ni hivyo hivyo mwendo wa kujiuguza mpaka lini?Kuweka ndani uongo mzee. Bado nipo nipo sana.
Jikaze mzee, hakuna namna kama hutaki kuingia gharama fanya hivyo!Nikiwaza kuishi na mtu mpaka nife naishiwa nguvu zote!
Oya wagwan?Hebu nitumie kabisa kabisa hiyo bajeti ndio tuyajenge!
Unakosa huduma za bure!Naharakia wapi? Kwani saivi nakosa nini?
Na wanapewa vizuri kabisa si ndio? Unatuhakikishia hivyo au sio?Wanaume wengi ambao wako vizuri kipesa wana huo ufirauni wa kuwaomba wadada kinyume na maumbile VERBOSE
Njoo na vitu vyako vyote uamie kwangu.Hebu nitumie kabisa kabisa hiyo bajeti ndio tuyajenge!
Usinichanie mkeka tafadhaliOya wagwan?
Nshapita pita sana humo hizi ndoa za part time hamna jipya.Unakosa huduma za bure!
Si nimesema! Wewe firauni🫢Na wanapewa vizuri kabisa si ndio? Unatuhakikishia hivyo au sio?
Au umelewa si unajua weekend tayari?Njoo na vitu vyako vyote uamie kwangu.