baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Umeshapata jibu hapo la Uzi wako, huyo alikua anafanya matangazo kwamba 30K inamhudumia, aka 900K kwa mwezi surplus.Haha slay queen wengi hata hawa maarufu, wengi njaa tu, hawahongwi vitu vya maana wengine wanaenda hadi kwa waganga ili watongozwe na wanaume wenye hela, kuna slay queen mmoja mzuri kweli, tena maarufu kiasi, kwenye insta story yake aliwaomba fans wake tsh elf 30, nilishangaa kweli King Kong III