Habarini,
Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wuwahudumia sh ngapi kwa mwezi, maana kama ni elf 25 tu, pm ya holoholo ipo wazi 😁
Haha slay queen wengi hata hawa maarufu, wengi njaa tu, hawahongwi vitu vya maana wengine wanaenda hadi kwa waganga ili watongozwe na wanaume wenye hela, kuna slay queen mmoja mzuri kweli, tena maarufu kiasi, kwenye insta story yake aliwaomba fans wake tsh elf 30, nilishangaa kweli King Kong IIIwanaohongwa sana ni slay queen.
Seran Mimi naeza kupa zaidi ya hiyo aftatu tatuAftatu tatu tatu🤸🏽♀️
Umeanza bangi tenaAftatu tatu tatu
Nimeacha baba😪Umeanza bangi tena
Aanh usimuite ntadhalilika mwenzio🙄Au nikuitie wifi yako hapa aone ambavyo umeanza kubadilika kwa sababu za mjani?
Wewe dogo; miaka 56 ni babu? halafu miaka 34 ni kijana? Usidhalilishe watu, au tuseme hesabu ilikupita kushoto...Habarini,
Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili.
Tuje kwa ground kwenye takwimu zisizo rasmi hasa kwa hii nchi yetu ya ulimwengu wa 3
Wanaume wengi wenye uchumi imara mfano wenye biashara nyingi zinazowalipa vizuri ni waume za watu, au unakuta ni wababu wenye miaka 56+, hao wanaume utajenga nao future gani?
Kwa vijana sisi (25-34) wengi uchumi wetu ni mashkolo mageni aidha ni jobless au kijana akijitahidi sana ana kijimshahara cha kulipwa kila mwezi ambako hakifiki tarehe 15..
Ukimkuta kijana yuko vizuri kiuchumi mwenye biashara zake, kajipata kwa njia halali, ukiachilia waliorithi mali toka kwa wazazi wao, ni wachache sana
Kati ya hao wanaume wenye hela, hujawatoa waume za watu, wababu, wenye hela za masharti ya kichawi, kina anko t, wenye hela haramu k.v majambazi, wauza madawa ya kulevya, hapo kuna na wale wanaume ambao anakuhudumia ila hana nia nzuri na wewe, labda anataka akuambukize ukimwi, au akuombe kinyume na maumbile
Naona kitakwimu ni rahisi kuonana mtaani na wadada warembo kuliko kuonana na wanaume wenye hela..
Au dada zangu mnataka wanaume wa kuwahudumia sh ngapi kwa mwezi, maana kama ni elf 25 tu, pm ya holoholo ipo wazi 😁
unatafuta stress za lazima huduma ni hiyari si lazima hasa kwa mwanamke ambaye siyo mke wako au umesahau mambo ni 50/50.Habarini,
Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili.
Tuje kwa ground kwenye takwimu zisizo rasmi hasa kwa hii nchi yetu ya ulimwengu wa 3
Wanaume wengi wenye uchumi imara mfano wenye biashara nyingi zinazowalipa vizuri ni waume za watu, au unakuta ni wababu wenye miaka 56+, hao wanaume utajenga nao future gani?
Kwa vijana sisi (25-34) wengi uchumi wetu ni mashkolo mageni aidha ni jobless au kijana akijitahidi sana ana kijimshahara cha kulipwa kila mwezi ambako hakifiki tarehe 15..
Ukimkuta kijana yuko vizuri kiuchumi mwenye biashara zake, kajipata kwa njia halali, ukiachilia waliorithi mali toka kwa wazazi wao, ni wachache sana
Kati ya hao wanaume wenye hela, hujawatoa waume za watu, wababu, wenye hela za masharti ya kichawi, kina anko t, wenye hela haramu k.v majambazi, wauza madawa ya kulevya, hapo kuna na wale wanaume ambao anakuhudumia ila hana nia nzuri na wewe, labda anataka akuambukize ukimwi, au akuombe kinyume na maumbile
Naona kitakwimu ni rahisi kuonana mtaani na wadada warembo kuliko kuonana na wanaume wenye hela..
Au dada zangu mnataka wanaume wa kuwahudumia sh ngapi kwa mwezi, maana kama ni elf 25 tu, pm ya holoholo ipo wazi 😁
Ndio😅Unaongeza buku bee au? 😂