Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

siku 5 tu unalalamika angalau ipite mwez hv au ipite tar ya malejesho ndo ulete mada apa,
 
Mie nafurahi tuu sipati notification kwa hiyo nikikubahatisha ka hivi lazima nijichekeshe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Jana tatizo hilo lilianza kwangu bada ya kama masaa machache notification zikarudi
 
Hv unaanzaje kumlipa mwanaume? Ila kama hujawai kunitongoza siwezi kukukopa hata.so naosepa na hela zao ninakuwa Nina haki nazo
Yaani nikiisha kutongoza ujue suala la kukukjopesha halipo. na nikikukopesha ujue nimekupata na utalipa in other ways
 
siamini ktk kumkopesha mwanamke,
bali naamini ktk kumpa tu hiyo hela maana ni wagumu sana kulipa! na wenye akili mbovu wakiona unang'ang'ania akulipe anakupa ofa ya papucci
 
Humu ndani kuna watu walishazungumzia sana swala la kukopeshana....ukweli watanzania wengi hatuna utamaduni wa kulipa madeni. Nilishapoteza hela za kutosha kwa wadada simple jibu ninalowapa ni kuwa sina hela
 
Ukimkopesha mwanamke weka maandishi na saini ya dole gumba vinginevyo imekula kwako.
 
We ndo mwenye makosa kumkopesha mwanamke halafu wanawake hawanaga shukrani ata apate pesa ataendelea kufanya shopping zake za nguvu ili kukuonesha dharau zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…