Wadada na wizi ni pete na kidole?

Sawa nakuelewa ila hoja yangu mimi siyo jinsi ya kuzuia kuiba, hoja yangu ni kwanini wadada wanaona ni lazima wakuibie kama vile ni haki yao hata kama umeshampa hela ambayo ameona ni hadhi yake. Wakati tunachoma moto vibaka vijana wa kiume mtaani huku kila siku wakati vibaka wakubwa kabisa ni hawa wadada.
 
Ukiwa na Demu ambaye humjui zaidi, umekutana nae juu juu, usijiamin Mzee.

Wanawake wa kujiaminisha ni wale ambao either majiran, co-workers, ndugu wa mbali, uliopewa reference, unaojua wanakaa wapi.
Hawa hawawez kukuibia coz wanajua utawapata wapi.

Hao wa kuokota , wanajua kabisa unamtumia kwa siku moja na kumuacha, na hata umpe bata vipi. akiona fursa hawez iacha.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wewe inawezekana hujawahi kusikia mtu akilalamika mkewe kila akirudi kalewa anamsachi.
 
Kwan n kweli wametimuliwa pale uwanja wa fisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…