JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
- Thread starter
- #21
Mkuu sasa mimi nalala na mwamba? Kuna kidada cha chuo nilikutana nacho mchana kabisa kila nikienda chooni nakuta kimenisachi.Sidhan kama comment ya Evelyn Salt ni mbaya,umeichukulia vibaya tu but she wasnt negative