Wadada na wizi ni pete na kidole?

Wadada na wizi ni pete na kidole?

Ndiyo maana nimekupa ushauri! Chukua hoteli hata ya 50,000k hadi 100,000k! Nenda kale mzigo wako pale Jamirex Mwenge au Rombo Green View pale Shekilango,hizo chloroform hawezi kukupaka,maana hawezi toka bila wao wakupigie simu kukuuliza,mgeni wako anatoka je tumuruhusu?? Sasa wewe unalala Guest House za huko Manzese,na bado una burungutu zakutosha,lazima watakuibia tu! Starehe gharama kaka! Maisha kwanza,jipende kaka, we live once,we must die!
Sawa nakuelewa ila hoja yangu mimi siyo jinsi ya kuzuia kuiba, hoja yangu ni kwanini wadada wanaona ni lazima wakuibie kama vile ni haki yao hata kama umeshampa hela ambayo ameona ni hadhi yake. Wakati tunachoma moto vibaka vijana wa kiume mtaani huku kila siku wakati vibaka wakubwa kabisa ni hawa wadada.
 
Ukiwa na Demu ambaye humjui zaidi, umekutana nae juu juu, usijiamin Mzee.

Wanawake wa kujiaminisha ni wale ambao either majiran, co-workers, ndugu wa mbali, uliopewa reference, unaojua wanakaa wapi.
Hawa hawawez kukuibia coz wanajua utawapata wapi.

Hao wa kuokota , wanajua kabisa unamtumia kwa siku moja na kumuacha, na hata umpe bata vipi. akiona fursa hawez iacha.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wewe inawezekana hujawahi kusikia mtu akilalamika mkewe kila akirudi kalewa anamsachi.
 
Kwan n kweli wametimuliwa pale uwanja wa fisi?
 
Back
Top Bottom