Nenda Asili salon ipo opposite na Shopperz plaza Mwai kibaki road. Hawa ni wataalamu wa Natural hair
Nimeipenda hii topic dada,keep it up.....swali langu,mie ni mnene na kwenye mapaja karibu na kwa bibi,ngozi imefifia na kuwa nyeusi....unafanya nini ngozi inakuwa sawa na the rest of the body?.........siwezi kufika hapo kama unaweza kunielekeza products please...ningekujia PM ila nimeona ni tatizo la watu wanene wengi.
Pole sana dada angu! Ni kweli hilo tatizo ni la wanawake wengi sana hasa wanene. Pia mimi ni ME na siyo KE.
Kama uwezo unaruhusu ningekushauri uende any professional salon na wakufanyie Sauna steam bath treatment...yatakiwa ufanyanyiwe mara mbili kwa mwezi kwa kipindi cha miezi miwili huku ukipaka cream fulani hizo sehemu zilizoathirika sana.
Nakuhakikishia ilo tatizo lako litaisha on time.
Bei ya hii huduma huko kwenye masalon mengine siijui ila Million Hairs Salon wanachaji Tshs 120,000 kila uifanyapo.
Usijiongopee kama unaweza kujifanyia hii huduma nyumbani...hii huduma inatakiwa ufanyiwe na wataalam hasa.
Jipange.
Nywele zangu ni ndefu ila ni chache nimeshatumia stemming za aina nyingi ila tatizo liko pale pale,nikashauriwa niweke rangi haikusaidia,sasa hivi nimeshauriwa nitumie steaming aina ya infusium toka mwezi wa tano ila tatizo bado liko pale pale,steaming hii huingii kwa dryer je ni sawa? naomba msaada wako sana, nitafurahi mno ukinijibu na kunishuri kazi njema.
Nywele zangu ni ndefu ila ni chache nimeshatumia stemming za aina nyingi ila tatizo liko pale pale,nikashauriwa niweke rangi haikusaidia,sasa hivi nimeshauriwa nitumie steaming aina ya infusium toka mwezi wa tano ila tatizo bado liko pale pale,steaming hii huingii kwa dryer je ni sawa? naomba msaada wako sana, nitafurahi mno ukinijibu na kunishuri kazi njema.
Natumia dawa ya nywele aina profective lkn naona nywele hazina maendeleo, naomba kujua dawa nyingine nzuri zaidi ya hiyo
Kucha zangu za miguuni zinaweka mstari katikati then zina katika tatizo ni nini na tiba yake ni nini
Nywele yangu ni laini na ndefu (6 yrs)
Ilivyofikisha miaka 3 nikuweka beautiful beginning ya box ile ya watoto (kwa ushawishi).... Lakini haikunipa matokeo mazuri, labda kwasababu ilikua ni mwanzo. Nilitumia ikaisha
Kwa ushaur wa salon nikabadili dawa nikawa naweka miadi pamoja na steaming ya movit.... Ikakubali balaa.... naretach kila baada ya miezi 3
Sasa nikapewa zawadi ya mega growth kuanzia dawa,steaming mafuta etc (ya box) hiyo steaming ni leave-in, nimeweka mara 2 na mpaka sasa natumia steaming yake na ile ya movit (zinapokezana)
Naomba ushauri, nitumie steaming gani ili nywele ijae zaidi?
NB:
Nasuka rasta , nabana , naziachia na kusukwa za mkono sometimes
Sijawah kuwa na tatizo la mba wala kuungua na dawa tangu nianze kuweka